wadau kwa alie na laptop computa aniuzie fasta nina 300'000 cash.kwa leo tu. laptop iwe nzuri na specfcation zake ziwe kuanzia 1.5 gb of ram.na hdd isipungue 250gb.kwa alie nayo....