Niuzie duka lako la vipodozi.

Niuzie duka lako la vipodozi.

pide89

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Habari zenu wanajamiiforum! Mimi ni kijana nataka kuingia kwenye hii biashara ya vipodozi. Nafahamu kuna watu biashara hii inawashinda hvyo kama upo niuzie sifa: Duka liwe sehemu nzuri yenye msongamano wa watu,kodi isizidi 150,000 nitafute kwa namba hii 0764014285 tuelewane
 
bro acha kuwa tegemezi kwa mawazo na jitihada za wengine maeneo yako mengi fanya tfiti ujue wapi ni sehemu nzuri kwa mahitaji yako anzisha kitu chako ujizunie jitiada zako.
 
Back
Top Bottom