impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,846 Reaction score 7,905 Dec 5, 2018 #21 MC7 said: ahsante sana kiongozi Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo. Click to expand... Gari ya maana sana crown A ila kwa bei hiyo ya 8/9 ni ngumu maana siyo gari ya kimaskini
MC7 said: ahsante sana kiongozi Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo. Click to expand... Gari ya maana sana crown A ila kwa bei hiyo ya 8/9 ni ngumu maana siyo gari ya kimaskini
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,846 Reaction score 7,905 Dec 5, 2018 #22 MC7 said: Ahsante kwa kunipa Moyo. Ikifka january katikati ndio ntabadili matumizi ya hiyo pesa lakini kwa sasa 8.5mil ipo Kabatini.sina haraka nalo kiongozi. mpaka sasa kuna mmoja kagota 9.5mil namba DL... Click to expand... Mkazie huyo 8.5 atakupa tu maana pesa yenyewe imekuwa ngumu
MC7 said: Ahsante kwa kunipa Moyo. Ikifka january katikati ndio ntabadili matumizi ya hiyo pesa lakini kwa sasa 8.5mil ipo Kabatini.sina haraka nalo kiongozi. mpaka sasa kuna mmoja kagota 9.5mil namba DL... Click to expand... Mkazie huyo 8.5 atakupa tu maana pesa yenyewe imekuwa ngumu