Charles piere
Senior Member
- Mar 29, 2012
- 157
- 49
Napatikana moshi au arusha
Iwe kwenye hali nzr
Weka picha na bei nithaminishe.
Iwe kwenye hali nzr
Weka picha na bei nithaminishe.
ukifika dar nichek 0752490238Kuanzia j'mos next week ntakuwa dar wadau.
Kuanzia j'mos next week ntakuwa dar wadau.
Ni Android na si Adroid kama ulivyosema! Kila la heri watakuja wenye nazo.
Ni Android na si Adroid kama ulivyosema! Kila la heri watakuja wenye nazo.
Mkuu kuna tecno m3 pichani sh 100000/= na Samsung galaxy s2 sh 280k
Kazi kwako
PM namba mkuu Tayo tu-negotiate
Nina htc wildfire. Kwa vile nina dhiki hata ukinipa fifty (50,000) poa. Ni pm tumalizane
nicheki kwa 0713388226 ziko za kumwaga mpyaa kwa boxNapatikana moshi au arusha
Iwe kwenye hali nzr
Weka picha na bei nithaminishe.
nicheki kwa 0713388226 ziko za kumwaga mpyaa kwa box
android yyte unapata bt inategemea bajet yako ww n sh ngap
Sony ericson xperia x10..8mpx camera..iko kwenye halinzuri..0753404139