Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Ungejua unavyonekana wa hovyo humu ungejinyamazia tu
kuonekana ni nonsense kabisaa gentleman,
inasaidia nini kuonekana umevaa kigodoro kwa mfano?

ni muhim zaidi zingatia ukweli katika mawaidha yangu muhimu sana na itakusaiadia sana wewe, familia yako na wadau wengine makini wa JF πŸ’
 
Umekuja hapa kuharibu uzi, peleka siasa lumumba
 
Wewe N dume tunajua...Je hujui kutoa ndogo ni laana?
 
Mkuu weka Ile picha flan,,
Kama video ila sio yaani upo kama unakalia baskeri hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…