Wewe sasa Una Akili (brain) 🧠 well said, nchi inapitishwa kipindi kigumu Sana. Anyway, back to the mada, je ushawahi kukutana na member nje ya hapa?Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Hio itakua kafaraUkinipata mimi utataka nikutumie pesa ambazo hauna mchango nazo?
Sabato inakaribia mtumishiHio itakua kafara
kwamba upo live...OKE. endelea.!Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).
Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.
ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,
Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,
Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,
Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.
Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)
Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.
Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.
Wabillahi Tawfiq
Jioni njema.
Unajua hakuna aliyezaliwa na akili ya kujua lipi jema na lipi baya na vilevile katika utafutaji wa maisha kuna mengi hutokea pasi na wewe kujua.Una lipi la kuwashauri watoto wa kike ambao wanajiuza kama madadapoa kwa mgongo wa ugumu wa maisha?
Swali langu ni hili: Je, ni vizuri wanandoa kuachia ushuzi kwa kujiachia wawapo nyumbani? Nasema kuhusu ile hali ya watu kujiachia bila kujali muda wowote na sehemu yoyote wawapo wawili.Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).
Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.
ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,
Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,
Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,
Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.
Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)
Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.
Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.
Jioni njema.
View attachment 3315319