Laptop bei nafuu
Member
- Feb 7, 2012
- 72
- 69
- Thread starter
-
- #21
Laptop Kwa ajiri ya shughuli za steshenari boss
Machine for graphics design
Ina sofa gan na being
Hiyo uliyoambatanisha kwenye uzi ni HP ipi?.
Hiyo kwenye Picha ni Bei gani
Wewe unatengeneza pia laptop? Nina ngalangala langu hapa Hp nimeamua kuliweka mtoto ndio analitumia kuangalizia cartoon wakat mi naangalia mpira. Natamani kuifufua iliharibika frame na hata window yake ya zaman
Dell Core i5, system login and work on networked environment
Laptop kwa ajili ya video editing/graphicsWatu wengi wamekuwa wakinunua laptop bila kujua wanaenda kutumia kwenye matumizi gani au mwingine ananunua laptop yenye uwezo mkubwa sana kuliko matumizi yake. Sio mbaya kufanya hivyo bali itakufanya uingie gharama kubwa ya ununuzi wake.
Pia kuna wengine wananunua laptop yenye uwezo mdogo ukilinganisha na matumizi yake hivyo kupelekea kazi yake kuwa slow na ufanisi wa kazi kuchelewa au kuwa mbaya kabisa.
Laptop ni kama bidhaa nyingine lakini katika ununuaji wake unahitaji uelewa wa hali ya juu sababu kuna changamoto watumiaji hukutana nazo na kwa kuwa hawajui chochote basi huona kama wamepigwa au kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
NJOO TUPEANE USHAURI NI LAPTOP IPI ITAKUFAA KWENYE MATUMIZI YAKO NA VIGEZO GANI UVIZINGATIE UNAPONUNUA LAPTOP.
Unaweza kupiga simu 0787391033 au kunichek WhatsApp 0652565597
#TWENDE SOTE
#TEKNOLOJIANIYAKWETUSOTE
#2024
View attachment 2874501
View attachment 2874502
Dell core 5
Laptop kwa ajili ya video editing/graphics
Hii sio min mkuu, nime ona ni zile kubwa kidogo.
Kwa ajili ya kuchek movie na kucheza game screen iwe kubwa
lenove 131e inafaa kwa matumizi gani na price yake vipi
bei yakeMatumizi ya kawaida hasa kuangalia muvi , typing
bei yake