Mimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
Mimi ni omary faniyangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore sasa niulize jinsi ya kutengeneza game
apktool inaweza kukupa source code, app ina login page na IAP, nikizi disable na inatakiwa kuwa online kuzitumia, developer hataweza kujua na kuiblock?