41.59.81.52Nipe ip adress yako
mleta mada ajamaliza cours bado inaonekana ndo mwaka wa kwanza kwenye IT anakwepa maswalii....Mleta mada hakuna kitu,hujibu maswali kama inavyopaswa,umejaa ubabaishaji tu,bila shaka ndio umeanza masomo ya IT hujamaliza hata wiki mbili umeshajiona mtaalamu! wachangiaji wa mada wanajibu maswali kuliko mleta mada,
Acha kua na haraka dogo,endelea na masomo kwanza,Dunia ipo utaikuta tu.
Mkuu nimedownload lakin mpak sasa sijajua nawezaje kuhacker password yaoHili nalijua tafuta app inaitwa termux playstore itakusaidia
Hahah Kwani angetoa tangazo la malipo ningeshindwa kulipa BalanciagaWanaopenda vya bure ndo hawa
Ila hii "phield" inanipa wasiwasi😆😆mleta mada ajamaliza cours bado inaonekana ndo mwaka wa kwanza kwenye IT anakwepa maswalii....
itakua yuko phield
Atujakataa ila si amesema mwenyewe atupe elimu kwani ni vita sasaHiyo ujuzi unatakiwa sana check tutorial youtube
Nahitaji msaada wa kuunlock router ya Huaweii inatumia chip ya smile lkn service provider ni vodacom nipo darHusika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
🤣 🤣 🤣 🤣 punguza ujingaBroo kama unabisha screenshot simu yako upande wa about phone alafu nitumie nikuonyeshe sasa ndo utajua sijui
hao nao roho mbaya tuYap inawezekana nichek pm nikutumie link ya maelekezo humu ma modereta wanazingua kuna siku humu nilileta uzi wa kuhack wazee wakaufuta
weka ujumbe unaokuja baada ya kufanya connectionPc yangu inagoma ku connect wi-fi unaweza nambia tatizo niniView attachment 1753748
Alifanikiwa kukuhack? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]41.59.81.52
Hyo hapo, furahi na roho yako baba. Nikukumbushe kuwa natumia Google Pixel iko kwenye latest android version (android 11) na ipo kwenye latest security patch (february 2021) naomba unihack utuaminishe hapa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaAlifanikiwa kukuhack? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona akasepa kabis