Mwaka mmoja tu UULIZWE kuhusu marekani? mi nadhani ulimaanisha Burundi bwana ila sio Marekani ya Bwana Trump..otherwise tu ungesema tukuulize kuhusu Marekani/Jimbo Flani ila Kusema uulizwe kuhusu MAREKANI utajibu machache sana na mengi utayaacha.
Nmeshomea kuhusu marekani kuanzia historia mpka utamaduni,na nnaidhi marekani now nashindwa nini kukuambia unachotaka kujua.kuna vitu vingine siwezi kukujibu sio halali kisheria ila nnakijua
Mwaka mmoja tu UULIZWE kuhusu marekani? mi nadhani ulimaanisha Burundi bwana ila sio Marekani ya Bwana Trump..otherwise tu ungesema tukuulize kuhusu Marekani/Jimbo Flani ila Kusema uulizwe kuhusu MAREKANI utajibu machache sana na mengi utayaacha.
Mwaka mmoja tu UULIZWE kuhusu marekani? mi nadhani ulimaanisha Burundi bwana ila sio Marekani ya Bwana Trump..otherwise tu ungesema tukuulize kuhusu Marekani/Jimbo Flani ila Kusema uulizwe kuhusu MAREKANI utajibu machache sana na mengi utayaacha.
Naomba kuuliza hivi Marekani ili uweze kupata nafasi za utalamu wa ufundi kwa maana ya elimu na kazi/kibarua inatakiwa sifa zipi nisaidie mkuu tafadhali