Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

The real Michael Jackson died in 1982??

you are not serious.....After 1982 michael alikuja na classics kubwa zilizobadilisha maisha yake ..mfano mzuri ni record zilizowekwa na album ya Bad na Dangerous..labda niwe nimekuelewa tofauti
 

asante sana kwa kujazia ila kama mpenzi wa Mj hilo jina la the wacko jacko lina maana iliyolenga kumdhalilisha sana ni vema tukamuita majina yake tuu
 
Je? ni mwaka gani alikuja kwa mara ya kwanza Tanzania?
Tunakumbuka uwanja wa ndege alipokelewa na Hassan Diria (R.I.P) huku akiwa amevaa uniform za umoja wa vijana ni nani alimshauri kuvaa vile?

alikuja Tanzania mwka 1992 kufungua kituo cha watoto wenye utindio wa ubongo pale sinza
 
alikuja tanzania mwka 1992 kufungua kituo cha watoto wenye utindio wa ubongo pale sinza

nashukuru kwa majibu yako mujarab,na ni nani alimshauri kuvaa uniform za umoja wa vijana? Na kile kituo bado kipo?
 

Hapo kwenye red ni Joe Jackson sio Jesse.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…