Niulize chochote kuhusu kisiwa cha Pemba

Niulize chochote kuhusu kisiwa cha Pemba

Hawana pumzi ya kujitenga hata wangependa. Hawana uwezo hata wwa kuchagua rais wao. Rais wao anateuliwa ugogoni wao ni kupiga makofi na kukenua meno. Pemba ni tarafa ndani ya mkoa wa Zanzibar
Lol:what:😡
 
ASSALAMU

ALAYQUM, YAAMANITTABAAL-ULLAA, Kwa yeyote mwenye suwali kuhusu kisiwa
chenye marash ya karafuu (PEMBA) na wapemba, naomba aniuleze, nitamjibu
kadri ya uwezo wangu. najua kuna mengi yanasemwa kuhusu Wapemb na kisiwa
chao ki2kufu mengine ni mazuri mengine mabaya kwa uhakika naombeni
muniulize kupitia uzi huu. kuna misemo mingi ya kejeli wanayoambiwa
wapemba kwa mfano " Mpemba ku2 la ng'ombe" "mpemba haoneshwi paja"
Pemba perema ukenda na joho utarudi na kilema, ili mradi ni kashfa kebeh
zidi ya wapemb na kisiwa chao. Eb yeyote aliekushafika Pemba na atwambie zile sifa mbaya zinazo pakazwa kuhusu wapemba ni kweli?Mimi ni mpemba fyoko makaburi ya babu zangu na bibi zangu yote yapo pemba, kwanza najiringia UISLAMU WANGU, pili NAJIRINGIA UPEMBA WANGU.
Mkuu Chanjamjawiri kijiji bado kipo?
 
Jifunze kuandika kwa ufasaha ili iwe rahisi kueleweka. Mpangilio wa maswali niliyokuuliza ni mzuri lakini wewe umejibu katika mpangilio mbaya usioeleweka. .

Huyo ndio mpemba yakhee! Yupo na wakeze anatengeneza mtoto wa 30!
 
Inakuwaje mwanamke wa kipemba anaolewa muuda si mrefu anachika kwa talaka, kasha anapata mchumba mpya na kumwambia yeye ni bikra, je ndoa iliyotangulia ndoa iliendeshwaje?

Suala la ndoa kuolewa na kuachana halina kabila wala eneo analotoka mtu. Kamuulize Mbasha atakuambia
 
Inakuwaje mwanamke wa kipemba anaolewa muuda si mrefu anachika kwa talaka, kasha anapata mchumba mpya na kumwambia yeye ni bikra, je ndoa iliyotangulia ndoa iliendeshwaje?
Mimi nilishakaa Pemba, tena Chake.
Hapo niliambiwa point blank, mwanamke hapa Pemba ni kama baiskeli.
Weye waipanda utakavyo, ukichoka waiweka kiambzani, na mwingine aichukua yakhe!
Ilinichukua muda kuelewa, lakini ndo ukweli wenyewe.
na Pemba nakuhakikishieni kuna very very very beutiful chicks, hasa wale walio mix damu kati ya waafrika na waarabu.
 
Umejibu vyema mkuu nipo Tibirinzi lakini majibu yako yamenisisimua sana,
Umejibu haki tupu.
Kwenye suala la umqskini nadhni bado hajakuwa mkweli ingawa kuna kaukweli flani
Wapemba wengi ni matajiri na wamewekeza nje ya pemba i.e Tz Bara na Unguja na wengine wako Oman na Uingereza wamejenga majumba mazuri kwao na wameyatelekeza...zaidiya kakiwanda ka kutengeneza mafuta ya karafuu hakuna kiwanda kingine.
Hebu amkeni mpende nyumbani kwenu na kama hamtaki wacha wengine wawekeze kwa kuwa ni rahisi mzungu kufungua biashara Pemba kuliko mtu wa bara kufanya biashara mna ubaguzi mbaya uliopitiliza ....ntarudi
 
Kati ya kolekole tasi mwamba pono na kadondo weye wachagua yupi na shokishoki je? Na unjibu hasaa usinletee zogo na vishindo miye!
 
Jamaa hata kuandika hawezi na hakuna alichojibu cha maana. Uzi huu uondolewe tu. Hata maneno hayaeleweki.
 
Tunataka sana mungano lakin tunataka mungano wa haki mkubwa kumuhishi
mdogo kwa udogo wake na mdogo kumuheshimu mkubwa kwa ukubwa wake,
likishafanyika hili ata mungano wa robo serekali cc tunautaka , c o
mungano hu wa kishenz shenz wizara ya micho c wizara ya mungan lakin ZFA
ipo chin ya TFF hivo ZFA inakosa meno ata yakuwahukumu wachezaji wake
wanapokosea kumbuka sakata la akina Kanavaro walipogawana pesa kienyeji
enyeji kwenye chalenj Z.F.A wakawafungia lakin wakambiwa km hawana haki ya kuwafungia, lakin hili wameshalisahau CCM kwa ajili ya nja zao akina muakilish wa Raha leo jazira aliejitukana mwenyewe kweny BLK.kwa mungan hu watanganyika hamna nia njema na wazanzibar ndio tukaona bora tu uvunjike kila m2 afe na chake.

Mi sielewi kitu chochote hapa ulichoandika, bora kauze duka saa hizi achana na uchakubimbi.
 
wapemba wengi wagumu kuelewa wepesi kusahau ,hesabu ya kukokotoa dakika mbili atatumia siku nzima
 
duuu, hii kali kweli kweli. mnajitia niulize, niulize sasa maswali ndo hayoooo!!!!! unang'a ng'aa sharubu la nini? kila mtu sasa niulize niulize na mimi muda si mrefu nitasema niulize swali lolote kuhusu Toronto Canada!!!! tunasubir majibu mkuu hili tuulize mengine


Kweli kabisa sasa naona mwishowe itazidi maana alianzisha mmoja wa Singida, sasa inaanza kuenea utadhani ugonjwa wa ebola, kila mtu niuilize chochote, niulize chochote - hivi kila member akisema aanzishae uzi wa kuulizwa chochote juu ya anakotoka si JF yote itajaa nyuzi za niulize chochote tu.
 
Nasikia bila milioni hupati mke pemba? Nahitaji kuja kuowa huko mwanamke wa kipemba hasa wale waliomix vp tabia zao kwa ujumla?
 
Naweza kupata hoteli nikija huko nipige msosi maana mm msafiri
 
Amii, hivi kwa nini mnapenda kuwazalisha mfululizo wake zenu..hamuwapi Breki atii...wanasema mna wivu..
Ni kweli Amii..!?

Na kwa nini nyie MIDUME mizima mwaenda sokoni...si kazi za kike hizo...!!

Swali la mwisho Amii...kwani nyinyi mna chuki gani na hiki chama cha Kijani...

Amii nijibu kwa busara, mi maswali haya yanchanganya sana...
 
Back
Top Bottom