Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Kuna e-commerce kama KibubuApp ya Tanzania, Alibaba ya China n.k, je wanakusanya fedha kwa watu kwa ajili ya faida kama nyie?
Kwa muundo wa kwenu wa kukusanya fedha na kutoa faida mnapaswa kuwa mmesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mitaji na Masoko (CMSA), Je mmesajiliwa na mamlaka hii?
 
Tayari vimeshaumana
 

Mnauza nini?
 
State financed scam's....
Kila wakati zinakuja kivingine na Zina operate na hakuna serikali kusema lolote,zikishakusanya mpunga wa kutosha serikali hujifanya kuzifungia na zikifungwa pesa huchululiwa na serikali ndio imetoka hiyo
 
Biashara ya kitapeli ni kama hii ambayo kwenye appstore hakuna key info kuhusu huu mradi. Unakuta tu link ya kudanlodi na si zaidi ya hapo.

Wafanyieni hisani Watanzania. Wanaumizwa na mfumo wa hovyo kiuchumi, warejesheeni hata nusu ya mlichowakapulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…