Kalynda E-Commerce Ltd work with many merchants to help them increase store sales, improve store reputation, and help merchants achieve higher sales and higher profits in the future.
The job content is to help merchants increase online reviews of products on e-commerce platforms such as Shopee and Zalando through the Kalynda platform, help merchants quickly create popular products, improve online rankings, and help merchants gain more online exposure. Product promotion commission.
Kwa hiyo hii ndio e-commerce? JamiiForums mnapaswa muwalinde members na schemes kama hizi zinazopostiwa humu.First,you need to register as an intern of Kalynda company, the company will give you 1,000 TZS registration bonus and 50,000 TZS experience bonus that will give you a commission of 1988 within 5 days!
Kwa hiyo hii ndio e-commerce? JamiiForums mnapaswa muwalinde members na schemes kama hizi zinazopostiwa humu.
Kuna mtu kashikwa shati au?!... Ni maamuzi yako kama unaona haikufai unaachana nayo sio lazma kila unachoona hakikufai wewe kisimfae yoyote... Hii ni biashara huria!
Jatu, Mr kuku, deci, qnet zote zilisajiliwa. Swali ni kwamba hiko ulichokiweka ndio e-commerce inavyofanya KAZI?View attachment 2348455
Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
Jatu, Mr kuku, deci, qnet zote zilisajiliwa. Swali ni kwamba hiko ulichokiweka ndio e-commerce inavyofanya KAZI?
Muda una majibu mazuri sana,tuupe nafasi.Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Kuna shida kubwa sana kwenye elimu yetu haswa ya msingi. Hata hueleweki hiyo Kalynda ni nini kwanza. Alafu wadau wakikwambia wewe ni tapeli unang'aka.
Kumbe ni pyramid scheme!Mwanzoni kujiunga ni bure na mara baada ya kujiunga utapewa muda wa siku tano wa Internship na hapo utalipwa elfu moja kianzio then kila siku utapatiwa 1988 ni hiari yako kuchukua pesa na kuachana nao au baada ya siku tano kuwekeza elfu 20 na kuendelea!!
ndo ivo mkuu humo ndani kuna mambo ya vip watu kwa kukosa maarifa wanaingia kichwa kichwaKumbe ni pyramid scheme!
Too good to be true and genuine!Kalynda E-Commerce Ltd work with many merchants to help them increase store sales, improve store reputation, and help merchants achieve higher sales and higher profits in the future.
The job content is to help merchants increase online reviews of products on e-commerce platforms such as Shopee and Zalando through the Kalynda platform, help merchants quickly create popular products, improve online rankings, and help merchants gain more online exposure. Product promotion commission.
Je kwa ambae anatak ajiunge anajiunga vp
Msikariri, kwenye Kalynda unaweza hata kuamua kufanya kazi peke ako na hakuna anayekubughudhi..Nilifanyakazi peke angu miezi miwili mfululizo Kwa mtaji wa 200,000 kila siku nilikuwa naingiza 8,000....Ila kiwango cha chini cha kuanzia ni 20,000..Acheni woga jaribu bahati yako..ndo ivo mkuu humo ndani kuna mambo ya vip watu kwa kukosa maarifa wanaingia kichwa kichwa
Karibu nakuhakikishia hutajutia kujiunga na Kalynda..Nakuja uko kupiga hela chapuchapu ila najua mwishoni kuna watu watalia[emoji23][emoji23][emoji23]mi ntakua pembeni naangalia
Uzi wako si unataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiko unachokipigia Debe. Hiyo platform yenu ina ufanano gani na e-commerce kama eBay, AliExpress, Amazon, best buy nk?Labda wewe unaweza sema E-commerce inaoperate vp!? Mimi sipo hapa kwa ajili ya upinzani ... ndo mana nimesema hii ni biashara huru na hulamizimishwi kujiunga
Uzi wako si unataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiko unachokipigia Debe. Hiyo platform yenu ina ufanano gani na e-commerce kama eBay, AliExpress, Amazon, best buy nk?