Niulize chochote kuhusu java na xml

Niulize chochote kuhusu java na xml

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,850
mi sio mwingi sanaaaa ! lakini niulize chochote kuhusu lugha hizi uone kama niko vizuri au hapana


zingatia:

HAPA TUNAZUNGUMZIA JAVA NA XML(EXTENDED MARKUP LANGUAGE)

SIO

JAVASCRIPT NA HTML
 
nitengenezee au nipe codes za kutengeneza javascript hello world
mkuu naweza kukupa lakini hapa nazungumzia java na sio javascript

hizi hapa usirudie tena kuuliza nje ya java na xml
<!doctype html>
<html>
<head>
</head>
<body>
<script type="text/javascript">
alert("helloworld!");
/*au tumia console.log() function kwenye browser yako itakuwa hivi ukitaka i run ito kwenye comment
console.log("helloworld!");*/

</script>
</body>
</html>
poa angalia screenshot
3.PNG
3.PNG
4.PNG
3.PNG
4.PNG
1.PNG
2.PNG
 

Attachments

  • 1.PNG
    1.PNG
    9.9 KB · Views: 59
  • 2.PNG
    2.PNG
    3.8 KB · Views: 56
mkuu naweza kukupa lakini hapa nazungumzia java na sio javascript

hizi hapa usirudie tena kuuliza nje ya java na xml
<!doctype html>
<html>
<head>
</head>
<body>
<script type="text/javascript">
alert("helloworld!");
/*au tumia console.log() function kwenye browser yako itakuwa hivi ukitaka i run ito kwenye comment
console.log("helloworld!");*/

</script>
</body>
</html>
poa angalia screenshot
View attachment 675519 View attachment 675519 View attachment 675520 View attachment 675519 View attachment 675520 View attachment 675521 View attachment 675522
vizuri
 
Kwanini Application JAVA inatumika zaidi katika simu za batani?
 
Java ndio nini?
Java ni programming language, iko katika group la high-level and object oriented programming language!

Ni language inayotumika kutengeneza softwares za pc, simu na hata web applications!

Kwa kifupi kama unamiliki smartphone inayotumia android jua java imetumika kutengeneza applications unazo download play store!
 
kwanini java, hutumika mala nyingi zaidi kutengeneza enterprise application ?
Nitajie udhaifu wa java katika security...




kwanza nianze na kwanini inatumika kwenye enterprise application.

sababu Ya msingi ni kama ifuatayo,

1.platform independence.
Hii ina maanisha kwamba java inaweza run kwenye OS zote bila kikwazo.
Lakini kumbuka kuwa tunapoandika java source code tunatumia human readable language yaani highlevel language kwa hapa ni java yenyewe.Ili ifanyekazi/run kwenye mashine yoyote hapa sio tu laptop yako au desktop yako lazima kuwepo na kitu tunaita compiler.
Compiler huitafsiri sourcecode hiyo ikiwa katika mfumo wake yaani highlevel language kwenda kuwa machine language ambayo ueleweka na hiyo machine yako sasa hapa tunaziita executable code na sio sourcecode tena, yaani ni mtiririko mzima wa maelekezo ya programu ambao utafanywa na cpu yako na kitendo ufanyika.

ZINGATIA:

kwa hiyo java bi very suitable kwenye kuandika enterprise application kwa sababu hizi application zina run kwenye os zote kwa msaada wa kitu tunaita java virtual machine/JVM ambayo kila OS/platform huwa na yake mfano window os/platform zina JVM yake na linux,na mac os n.k zina JVM zao hizi JVM Zinasaidia kurun hiyo application ukiringanisha na application/program iliyo andikwa kwa c/c++ hii ni platform dependent kwenye window ina zalisha program yenye jina na extension exe mfano name.exe ambayo uwezi run kwenye os zingine kama nilizokutajia hapo juu mpaka uiandikie huko kwenye OS/platform uipendayo.

kwa hiyo developer uangalia lugha ambayo ni very supportive mkuu
HIYO NI SABABU YA MSINGI ILA ZIPO NYINGI.

kuhusu security

Mara nyingi unapoona application/system inapoingiwa Vulnerabilities/madhaifu,madhaifu yanatokana na uandikwaji wake wa kizembe ambao hawa wanajiita hacker kama wewe wanaweza inject code yenye maelekezo tofauti kwenye hiyo system hatimaye inaanza kuperforn tofauti hii mnaita code injection.
Na hii uwa ni moja ya udhaifu wa java applications ndio maana naweza sema kama unaandroid au feature phone ambayo inasupport java huwa ina kitu tunaita trusted na untrusted certificate inayo mpa user option mfano kama una apk file kwenye simu yako ukijaribu install inakuambia unainstall kutoka kwenye unauthorized source hii ni njia inayoweza tumiwa kuaribu mfumo wa java kuna kitu inaitwa sandbox hii uzuia application uliyo download kutoka external site/untrasted site isiperform nje ya mipaka iliyowekewa.
UDHAIFU MWINGI UPO HAPA KWAMBA JAVA APP URUHUSU HIYO KITU NILIYO ZUNGUMZA KWA HIYO MWENYE MADHARA NI YULE ALIYERUHUSU UNTRUSTED SITE MARANYINGI.



kama nimejibu tofauti au sikuelewa uliza tena ambapo ujanielewa mkuu au sio maana nilisema mimi si mwingi sanaaaa hapa


 
naomba outcome wa hii ktu mkuu

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<p>A loop with a break.</p>

<p id="demo"></p>

<script>
var text = "";
var i;
for (i = 0; i < 10; i++) {
if (i === 3) { break; }
text += "The number is " + i + "<br>";
}
document.getElementById("demo").innerHTML = text;
</script>

</body>
</html>
 
hii code

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<p id="demo"></p>

<script>
var text = "";
var i;
for (i = 1; i < 10; i++) {
document.getElementById("demo").innerHTML += i + "<br>";
}
</script>

</body>
</html>

result yake ni


1
2
3
4
5
6
7
8
9


SWALI:

Use the continue statement to skip the numbers 5 AND 7 in the loop.
 

Java ndio nini?
bahati mbaya kiswahili hapa kinagota ngoja nikupe vitu namna hii.
java is an object oriented programming language with a built-in Application programming interface(API) that can handle graphical user interface (GUI) used to create applications or applets .

mfano

maserati umeclick/umebofya icon ya whatsapp hiyo ni GUI ili ifunguke mpaka uone ndani kuna message n.k kuna kitu inaitwa API ndio inayo itikia na kukufungulia dunia kuwa unachotaka au sio.

mfano mwingine ni tuchukulie umegusa ngozi ya kiumbe kilicho hai kitahisi umekigusa na kitashituka/respond maana yake umegusa GUI na Sasa API anarespond kupitia GUI

au tuseme GUI bila API ni sawa na MWANADAMU BILA UHAI
 
hii code

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<p id="demo"></p>

<script>
var text = "";
var i;
for (i = 1; i < 10; i++) {
document.getElementById("demo").innerHTML += i + "<br>";
}
</script>

</body>
</html>

result yake ni


1
2
3
4
5
6
7
8
9


SWALI:

Use the continue statement to skip the numbers 5 AND 7 in the loop.
unaelewa uzi unasemaje jamani huu uzi wa java na xml(extended markup language) sio html na javascript
 
Back
Top Bottom