Niulize chochote kuhusu Civil Engineering na utajibiwa

Civil inasoka zaidi kwasababu ni pana.Ina opportunities nyingi.

Pia kujiajiri ni rahisi zaidi.Unaweza kusajili CRB na ukapata kampuni yako ya ujenzi vizuri tu
Sawaa mkuuu nashukuru
 
Nitajie opportunities za kujiajiri kwa civil engineers

OK. Opportunities nimezigawa kwa makundi yafuatayo

STRUCTURAL ENGINEERING
  • Ku design na kujenga nyumba za makazi(residential house)
  • Ku design na kujenga multistorey buildings(Maghorofa)
  • Ku design na kujenga commercial buildings kama kumbi za starehe,shule etc
  • Ku design na kujenga warehouses na godown

TRANSPORTATION ENGINEERING
  • Kujenga District na Regional roads kwa level ya Gravel na Asphalt/Bituminous
  • Ku miliki material laboratory kwa ajili ya testing mbali mbali za barabara
WATER AND IRRIGATION ENGINEERING
  • Ku design na kujenga visima vya maji kwa ajili ya raia
  • Kujenga reservoirs
  • Ku design irrigation schemes
Na amini hapo umeridhika mkuu
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
Impermeable /Expansive soil should be removed and special treatments should be done. (soil stabilization /, provisional of filters retaining structures (gabion walls) or any other design option as directed by Engineer).
Decision of which kind of foundation to be employed should be based on Geotechnical results, location of the intended structure to be built/(exposed or concentrated/wind/overturning) and the intended Design loads.
 
OK. Opportunities nimezigawa kwa makundi yafuatayo

STRUCTURAL ENGINEERING
  • Ku design na kujenga nyumba za makazi(residential house)
  • Ku design na kujenga multistorey buildings(Maghorofa)
  • Ku design na kujenga commercial buildings kama kumbi za starehe,shule etc
  • Ku design na kujenga warehouses na godown

TRANSPORTATION ENGINEERING
  • Kujenga District na Regional roads kwa level ya Gravel na Asphalt/Bituminous
  • Ku miliki material laboratory kwa ajili ya testing mbali mbali za barabara
WATER AND IRRIGATION ENGINEERING
  • Ku design na kujenga visima vya maji kwa ajili ya raia
  • Kujenga reservoirs
  • Ku design irrigation schemes
Na amini hapo umeridhika mkuu

Hakika
 
Kwa wale wanaoenda chuo hivi karibuni,hii ndo nafasi yako ya kuuliza chochote kuhusu civil engineering

Karibu

Kwa nn construction companies nyingi zinaanza kwa kasi ila baada ya muda zinafifia na kufa kabisa...
 
Hawana sustainable business model.

Au cedibility yao inashuka kutokana na kulipua kazi walizopata nyuma.Kinachofuata ni kukosa kazi mpya na kuishia kufilisika
 
Vp construction company ikiwa haijafanya kazi yoyote ndani ya mwaka..are they going to pay anything to the gov naongelea tax au tozo zozote I don know kama zipo
 
As long as muhusikakaisajili kama kampuni,itakuwa inalipa kodi kama kawa regardless imepata kazi au la
 
Kwa nn construction companies nyingi zinaanza kwa kasi ila baada ya muda zinafifia na kufa kabisa...
Poor management, rushwa kwenye zabuni mbalimbali especially upande wa tender za serikalini.
Pia kuchelewa kwa malipo kutoka kwa client. Kumbuka contractor anatumia pesa ake ndo analipwa.
 
Hawana sustainable business model.

Au cedibility yao inashuka kutokana na kulipua kazi walizopata nyuma.Kinachofuata ni kukosa kazi mpya na kuishia kufilisika

Hapo kwenye sustainable business model naona iko kama too general...does it means hao contractors wanacharge pesa ndogo ambayo hailipi?
 
Poor management, rushwa kwenye zabuni mbalimbali especially upande wa tender za serikalini.
Pia kuchelewa kwa malipo kutoka kwa client. Kumbuka contractor anatumia pesa ake ndo analipwa.
Hapo Ndiyo Panaponiudhi Mimi!
"Eti Contractor Anatumia Pesa Yake Kwanza, baadae Ndiyo Analupwa""!!
Je, ikitokea Client Kufariki Huku Mjengo Haujakamilika, Na Wakati Huohuo Client Anadaiwa na Benki, Katika Mkataba Wake Na Benki, Basi Benki ikaamua Kupiga Mnada Mjengo! Je, Wewe Contractor utaipata Wapi Hela Yako???
 
Mkuu kabla ya kuanza mradi huwa kuna mkataba na mikataba imeainisha hayo yote endapo kuna party ya contract imeshindwa kukamilisha mikataba.
Hii ina maana endapo client akishindwa kukulipa hela basi kuna vipengele vimeekwa bayana na njia za kupitia ili kupata hela yako
 
Hapo Ndiyo Panaponiudhi Mimi!
"Eti Contractor Anatumia Pesa Yake Kwanza, baadae Ndiyo Analupwa""!!
Je, ikitokea Client Kufariki Huku Mjengo Haujakamilika, Na Wakati Huohuo Client Anadaiwa na Benki, Katika Mkataba Wake Na Benki, Basi Benki ikaamua Kupiga Mnada Mjengo! Je, Wewe Contractor utaipata Wapi Hela Yako???
Benki haiwezi kupiga kitu mnada pasipo kujua aliyejenga ni nani, kama contractor hajalipwa ni sharti Benki imlipe contractor kwa mujibu wa mkataba ndipo ipige mnada.
Katika hili Benki aliyokopa mkandarasi Itabidi ijadiliane na Benki aliyokuwa anakopa client.
 
Hii kitu nilikua naipenda ila nikaacha baada ya kuona wachina ndo kipaumbele cha miradi yenye pesa kubwa
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
Haya maswali mengine sio quiz..
 
Kwa wale wanaoenda chuo hivi karibuni,hii ndo nafasi yako ya kuuliza chochote kuhusu civil engineering

Karibu
Muheshimiwa nahisi unahusika na majengo vilevile. Mimi nataka kufanya mradi mkubwa kidogo naendelea kukusanya pesa. Nataka kujenga apartment za vyumba viwiliviwili kimoja kikiwa n choo cha kujitegemea na choo cha jumuia, jiko dogo na kajistoo kake, living room na dining room. Hizi apartment ni kwaajili ya biashara hivyo nataka kutumia gharama ndogo pale inapowezekana kupunguza gharama bila kuathiri ubora na uimara wa nyumba. Nataka kujenga apartment za aina hiyo 12 na kwakuwa nina ufinyu wa nafasi nataka ku maximize nafasi kwa kujenga ghorofa tatu kwa kwenda maana yake apartment tatu za vipimo nilivyokueleza na kwa upana wake iwe apartment 4 nikiwa na maana 3 x 4 = 12. What is the least amount of cash that I have to rise? Au kila apartment ya aina hiyo naweza tumia milion ngapi? Asante muheshimiwa kwa msaada wako.
 
Hii kitu nilikua naipenda ila nikaacha baada ya kuona wachina ndo kipaumbele cha miradi yenye pesa kubwa
Hiki kitu wengi mnashindwa kuelewa.. Mirad mingi wanayopewa na wachina inakua imedhaminiwa na wachina wenyewe, au inakua financed na world bank na miradi hii mingi huwa ina mashart ya kutumia contractor wa kichina.. Pia main contractor anaweza kuwa mchina lakini subcontractors wanaweza kuwa wazawa. Wachina mara nyingi wanakuja na vifaa tu na technical director mmoja, ila maengineer wote huwa wanaajiri wabongo, ndo mana ukienda kampuni za kichina utakuta maengineer wengi wazawa wameajiriwa.
 
Back
Top Bottom