Niulize chochote kuhusu Civil Engineering na utajibiwa

LILONGO

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
520
Reaction score
321
Kwa wale wanaoenda chuo hivi karibuni,hii ndo nafasi yako ya kuuliza chochote kuhusu civil engineering

Karibu
 
Hahahahaaa kuna faida gani ya kusoma hii kitu wakati ajira zote naonaga wachina ndo wanahusika???
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
 
Nahisi mtoa mada anataka maswali kuhusu kozi ya civil engineering na si technical questions...
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
Mtoa mada hajasema awe challenged na elimu yake, bali ni kufafanua na kuwaonyesha njia our new prospect civil engineer
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante

Nna wasiwasi na uelewa wako
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Mtu amesema kwa wale wanaoenda chuo hayo ma dude alioulizwa nimechokaa maana sidhani kama watakuja uliza chochote wote wamekimbia
 
Mkitaka wakandarasi wa Kibongo waendelee, kampuni za class two and below ziwe za wazawa na ziongozwe na wazawa pekee...
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
Nan kakwambia foundation ya majengo marefu lazima iwe pile?
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante

Jibu kwa swali lako la kwanza

Kama udongo ni impermeable,unaufanyia chemical stabilization.Kama tatizo likiendelea,unaongeza camber ya barabara kuondoa maji kwa haraka zaidi

Jibu kwa swali lako la pili

Kwa majengo marefu,basement ni part ya foundation.Yani basement inasaidia kubeba mzigo wa super structure

Procedure za kutengeneza pile foundation ,kwanza unatafuta bearing capacity ya soil.Baada ya hapo unatafuta moment then unatafuta reinforcement
 
Michepuo ipi usome ili kusomea degree ya civil engineering?
Unatakiwa usome PCM yani Physics ,Chemistry na Mathematics

Pia ukisoma PGM unapata nafasi katika vyuo kama ARDHI au MUST
 
Oy soryy nahsii natokaa njee kidgoo ya kusudio la swalii lakoo.. Me nataka kujuaa civil ..elctrcal na Mech ipiii ikoo vzrii kwa ajira na ipiii unaweza kujiajrii.. Naombaa uffnzi wa hiloo mana me ni form six leaver na nlpgaa PCM
 
Civil inasoka zaidi kwasababu ni pana.Ina opportunities nyingi.

Pia kujiajiri ni rahisi zaidi.Unaweza kusajili CRB na ukapata kampuni yako ya ujenzi vizuri tu
 
Je kwa Engineers uko
tayari ukiulizwa maswali?

Swali jepesi, Wakati unafanya Design ya Road Embankment, element za Permeability ya Soil, Slope Stability huangaliwa sana. Je utafanyaje kama udongo ni Impermeable? Je,kama ni sand soil degree ya permeability ni kubwa, na hivyo ni cohesionless, hiyo inakupa kuwa Slope Stability yake ni ndogo, je utafanya nini kukabiliana na hayo?

Swali la pili dogo tu.

Unapofanya Foundation Design hasa ya majengo marefu, lazima ufanye Design ya Pile Foundation hasa kama jengo lina Basement. Je toa ufafanuzi kidogo hiyo hufanyikaje?!

Ahsante
kwa haya maswali lazima atafute kibuti kipo wapi
 
Back
Top Bottom