Niulize chochote kuhusu Bukoba

Je? Huko kuna watu kama Kichonde wanaojitoa ufahamu na kumsifia Cyprian Musiba kwa mshahara wa kupewa buku7
 
ushawagegeda wangapi ndani ya hiyo miaka miwili??........wangap hujatumia kondom...?/......ushawahi kumfanyia katerero yeyote?
 
Eti ni kweli hayo mabwenga yakiingia kwenye migahawa uanaongea kikwao tu na msosi ni ndizi tu
Ni kweli Wahaya wanapenda sana lugha yao kila mahali wanazungumza Kihaya wana feel proud ata hiwe mahakamani maofsini ata hawe profesa usipojua au kuongea kihaya unaonekana wa ovyo..Kuhusu chakula ukiingia kwenye migahawa vyakula vyote vipo
 
Aisee hata mimi nikiona chura za kihaya huku Moro moyo unasisimuka. Je hizo OG za huko. Na miguu yao ile.
Huku wengi wakifika asa vijana ni ngumu kutoka kwa sababu mademu kama hao kwa dar wakifika wanakuwa ni classic hila hapa wapo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…