Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Eti ni kweli guest house za huko magodoro wanashonea kava za mipira ili kuepusha godoro lisilowe kwa sababu wanawake wa huko wamevunja koki?Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
Ten inatosha hila inategemeana na maeneo hulipoUkimchukua dem wa Bukoba, vocha kwa wastan utampa bei gani
Kwa michezo yao ten sio mbayaTen inatosha hila inategemeana na maeneo hulipo
Kitu kikubwa nilichoona nguo na viatu vinalipa bei ni zile zile za dar wengi wanafuata Kampala kwa bei chee akienda asubuhi jioni karudi wanatumia fedha kidogoKuna fursa zipi za kiuchumi kwenye huo mji ?
Wakumwaga wengine mabeki 3 Wasicha wa huku wengi wazuri sanaEt huko kuna mdem wenye asili ya kitusi?
Eti ni kweli guest house za huko magodoro wanashonea kava za mipira ili kuepusha godoro lisilowe kwa sababu wanawake wa huko wamevunja koki?
Sema chochote kuhusu katerero
Wakiwango cha SGRKwa michezo yao ten sio mbaya
Vipi ubora wa hizo bidhaa kutoka Kampala. Zinafanana na zile kutoka Dsm ?Kitu kikubwa nilichoona nguo na viatu vinalipa bei ni zile zile za dar wengi wanafuata Kampala kwa bei chee akienda asubuhi jioni karudi wanatumia fedha kidogo
2Biashara ya viungo vya pilau na vitunguu vinalipa ni wachache wanauza
3Mchele unauzika sana usio kuwa na mawe una bei kubwa kilo 2000 mpaka 2200
4Vifaa vya ujenzi pia vinasoko kubwa sana..
Unatumia vigezo gani ku identify msichana mzuri na mbaya ?Wakumwaga wengine mabeki 3 Wasicha wa huku wengi wazuri sana
Ila nasikia mtandao pendwa huku Moro 0713 huko hawaushabikii sana. Wao voda tu.Wakiwango cha SGR
Ndio zile zile sema Kampala ni nafuu zaidi kwenye nguo na viatu na bidhaa nyingi za hapa Bukoba zinatoka ug yakiwemo mafuta ya kulaVipi ubora wa hizo bidhaa kutoka Kampala. Zinafanana na zile kutoka Dsm ?
Wao voda tu mademu wa hapa ni wazuri sanaIla nasikia mtandao pendwa huku Moro 0713 huko hawaushabikii sana. Wao voda tu.