Maneno yanaishi na lazima yatimie.Kabla haujaolewa tulihaidiana kuja kuzaa watoto wawili na ikiwezekana ulikubali uwe mke wa pili.
Mwambie ajikatae Kila mtu afanye maisha yake. Simple. .25years
Kwamba ukimpotezea atafanyaje? SijakusomaSio SIMPLE akubaliane na usimple huo
25 - 7 = 1825years
Yaani swali lije kivyovyote vile mwamba..!! Kama kwa sasa una 25 years, na umekaa kwenye ndoa kwa miaka 7 hadi sasa, basi, ulipotimiza 18 years uliowa..!!!😆😆😆jibu lilijibiwa kulingana aina swali lilivyokuja.
Achana NA NAMBA HIZO😆😆Mwamba
😆😆😆Hatujaelewana bila shaka!!Yaani swali lije kivyovyote vile mwamba..!! Kama kwa sasa una 25 years, na umekaa kwenye ndoa kwa miaka 7 hadi sasa, basi, ulipotimiza 18 years uliowa..!!!
25 yrs, ndoani miaka 7!25years
Achana nae utakuja kujuta. Focus na familia yako moja.25years
Mwambie "namfungulia biashara mke wangu ila hapa nimepungukiwa milioni 1 naomba"Asante sana Demi njia rahisi namuoondoaje.
Kumwambia akae mbali namimi kwake ni kama nyimbo nzuri masikio mwake.