Mimi ni kushauri tu hali yangu haitofautiani saaana na yako kipindi hicho cha nyuma .
Lakini nikwambie kitu kimoja kitu chochote vizuri huwa kinakuwaga na pingamizi au jambo lolote zuri uwa linakiwaga na pingamizi kubwa
Sasa basi wewe ulipo kunakitu kizuri ambacho kipo mbele yako katika elimu kinaweza kikawa na faida kubwa kwako na kwa jamii kwa ujumla yaani utagusa watu wengi saana kupitia elimu
Ushauri sasa MUNGU anaweza kufanya hilo badala yake ,jaribu kutafuta ukaribu na MUNGU wako yeye ndio atakuwa msaada kwako naweza kusema Nina experience na hiko unachopitia lakini kwa ushauri wangu Nenda kwa MUNGU atakusaidia kwa uhakika na wepesi saana
mimi nilijaribu kusoma quotes za Watu mbalimbali lakini ilishindikana ,kutafuta ushauri lakini wapi hakuna kilicho badilika mwisho kabisa nikaamua kurudi kwa MUNGU vyote havipo tena ni historia sasa