Wapenzi nimeangukia kwenye penzi jipya linanipeleka puta kiasi naanza kukosa kujicontrol kumpigia na kumtumia jumbe mpaka najistukia atanichoka au kuonekana msumbufu
Ombi langu naombeni mbinu za kuweza kupunguza hisia juu yake nipunguze kupiga simu na kutuma jumbe kwake.
Nisaidieni yaani nimekuwa teja kabisa hadi najihurumia.

Fanya kile kinachokufurahisha kwenye mahusiano wala usizuie hisia furahia sana kwa kadri uwezavyo yani ikibidi kuvaa nguo imeandikwa jina lake vyovyote vile fanya furahia wakati jitahidi mfikie ndoa mjenge familia hakuna fahari ipitayo penzi bora kwa wapendanao
Fanya sehem yako mapenzi ni kitu kizuri sana ukianza kujizuia tu utakuja kulalamika kuachwa penda ukiamka penda ukilala penda ukiamka fanya hivyo wakati wote
Huna haja yq kujizuia kuonyesha upendo we mpende tu akiona ni kero basi hayupo sawa kihisia na wewe. Mimi babe wangu anapiga sana simu na text yani haipiti 2 hour au 3 hajapiga amewahi kuniambia nahisi kama nakusumbua sana nikamwambia no it's okay jiachie sababu tunapendana.