WebPeter Senior Member Joined May 23, 2017 Posts 111 Reaction score 63 Aug 21, 2017 #1 Nimekwenda kwa shamba langu Leo jioni kutazama maendeleo ya zao langu niliyo yakuta ni hao viwavi, dawa gani nitumie? Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwenda kwa shamba langu Leo jioni kutazama maendeleo ya zao langu niliyo yakuta ni hao viwavi, dawa gani nitumie? Sent using Jamii Forums mobile app
masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Aug 21, 2017 #2 tumia dawa yenye mchanganyiko wa kemikali yacypermethrin na imidacloprid ama dawa zenye kemikali ya lambda-cyhalothrin
tumia dawa yenye mchanganyiko wa kemikali yacypermethrin na imidacloprid ama dawa zenye kemikali ya lambda-cyhalothrin
Mwanyonga Senior Member Joined Jun 11, 2012 Posts 141 Reaction score 20 Aug 21, 2017 #3 Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app
masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Aug 21, 2017 #4 Mwanyonga said: Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hiyo NINJA kiambato chake ni kipi
Mwanyonga said: Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hiyo NINJA kiambato chake ni kipi
K kiamangwana Senior Member Joined Feb 28, 2015 Posts 175 Reaction score 89 Aug 21, 2017 #5 Mimi nimetumia profecron but wanakufa na wanatagwa wengine ndani ya wiki,na unatakiwa kupiga kila wiki Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimetumia profecron but wanakufa na wanatagwa wengine ndani ya wiki,na unatakiwa kupiga kila wiki Sent using Jamii Forums mobile app
WebPeter Senior Member Joined May 23, 2017 Posts 111 Reaction score 63 Aug 22, 2017 Thread starter #6 masanzu said: tumia dawa yenye mchanganyiko wa kemikali yacypermethrin na imidacloprid ama dawa zenye kemikali ya lambda-cyhalothrin Click to expand... Nashukuru Sana Sent using Jamii Forums mobile app
masanzu said: tumia dawa yenye mchanganyiko wa kemikali yacypermethrin na imidacloprid ama dawa zenye kemikali ya lambda-cyhalothrin Click to expand... Nashukuru Sana Sent using Jamii Forums mobile app
WebPeter Senior Member Joined May 23, 2017 Posts 111 Reaction score 63 Aug 22, 2017 Thread starter #7 Mwanyonga said: Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanyonga said: Kwa huku Iringa Mimi huwa natumia dawa inaitwa NINJA,kama vipi nenda duka la madawa ya kuulia wadudu ,waelekeze watakupa dawa inayostahili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
WebPeter Senior Member Joined May 23, 2017 Posts 111 Reaction score 63 Dec 10, 2017 Thread starter #8 quadraqoraman said: Uhakika zaidi. Tafuta Dawa yenye kiambata cha EMAMECTIN BENZOATE Au Tafuta Wiltigo plus au Snowmectin kati ya hizo,,ni uhakika zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa
quadraqoraman said: Uhakika zaidi. Tafuta Dawa yenye kiambata cha EMAMECTIN BENZOATE Au Tafuta Wiltigo plus au Snowmectin kati ya hizo,,ni uhakika zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,679 Reaction score 134,654 Dec 10, 2017 #9 Duh