nitumie cable gani ili cm isome kwenye pc

nitumie cable gani ili cm isome kwenye pc

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakuu mi natumia Nokia lumia 610 sasa Kuna vitabu nimevi download kwny cm ila nimekuwa nikioata shida kuvisoma kutokana na kutoa maandishi madogo sna na hrs nikiyakuza bado inakuwa shida kusoma sasa nilikuwa nataka kutumia cable kuvihamisha HIV vitabu kutoka kwny cm nivihamishie kwny laptop ila cable ninayotumia haisom kwny laptop je tatizo hpo litakuwa nn na solution itakuwa vp? Kwani nimejarib kuhamisha movies tatizo bdo lile lile cable haisom kwny laptop
 
Download nokia pc suite then jaribu tena hilo zoezi au unaweza kuvihamisha kupitia blue tooth
 
Ukiiconect kwenye laptop haionyeshi chochote kwenye simu au computer kus kuna connection? kawaida ukiconnect inatakiwa kwenye simu itoe indication kua iko connected na inakupa option ya kutumia kama mass storage au option nyingine, sasa kama hautoactivate kwenye simu then hata computer haitoisoma, just in case una shida sana na hivo vitabu solution nyingine ni kua na dropbox account unaweza vitunza hivo vitabu ukaweza kuviaccess kutoka kwenye pc via internet na sio cable tena... Na tumia Bluetoothw kama inagoma since kama haionyeshi chochote tatizo lako ni cable kbovu, tafuta nyingine, ukichomeka lazima ionyeshe kitu flani kama cable ni nzima..
 
Hakikisha una DATA CABLE na sio CHARGING CABLE
Data cable inapitisha data na kuchaji
Charging cable inachaji simu tu
 
1. Chomeka ktk usb port tofauti
2. Tuma kwa bluetooth au wireless(F Kinachomata kwako ni umehamisha data)
 
kaka windows phone 7 haina mass storage ndio maana unapata shida zote hizo. wala usisumbuke hamna cable itayotatua tatizo lako.

solution iliyopo ni kutumia internet tu. share hicho kitabu chake na cloud service yoyote, narecomend skydrive maana ipo integrated na simu yako, upload kitabu kwa skydrive halafu download skydrive kwa desktop then utaona folder la skydrive kwenye computer yako na kitabu utakikuta
 
Back
Top Bottom