Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Anzi hapa: Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channek za tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi
Anzi hapa: Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)
Downloads: https://kodi.tv/download/849
Kisha tazama hii video kupata TV channel zaidi ya 5,000
Download program y bluestack na utaweza kutumia app zote za android kweny computer yako
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Download program y bluestack na utaweza kutumia app zote za android kweny computer yako
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira
Msaada tafadhali
Muda wa mechi ukikaribia fungua HesGoal.COM Sports News utakuta link ya mechi husika ifungue then enjoy, ki kubwa bando lako tu.Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira
Msaada tafadhali
Una moyo kama wangu wa kupenda kusaidiaKama una kisimbuzi cha Dstv au jamaa yako kama anaweza kukupa ujiungie smarcard ya Dstv yake au kama una mtu anatumia app ya Dstv kweny cm mwambie akupe details za account yake uje nikuelekeza jinsi ya kutumia kweny computer ama laptop nk. Njoo hata pm
Nmetumia app nyingi za kuonyesha michezo mbali mbali ikiwepo mpira kweny simu au computer ila Dstv ndo chaguo langu aisee haili kabisaa mb yaani unaweza kuchagua options ya chini low quality na ikaonesha vizuri kabisaa hd unatumia mb210 kwa saa nzima kwa iyo unaangalia mechi moya ya mpira ya dakika 90 kwa mb 300 wakat app zingine unatumia mb 600 au gb 1 kabisaa huu ndo utifauti niliouona kwa app zingine na Dstv kwa nahitaji kuungwa na Dstv kweny cm au computer na hana kisimbuzi cha Dstv yenye chanel zaidi ya 100 aje nimuunge kwa kutumia account yangu ya Dstv ale raha mwanzo mwisho ila ni kwa malipo ya elf10 tu haina malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja unakura raha mwanzo mwisho nichek namba hiyo hapo kweny post iliyopitaView attachment 1373467View attachment 1373468View attachment 1373469View attachment 1373470View attachment 1373489