mrembowangu
Member
- Nov 20, 2013
- 25
- 8
Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!
Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai hakuna tatizo! Najiuliza sana hivi kutoka nje ya ndoa kutanosaidia nini? Nitachinwa pesa bure na ndo matatizo yataongezeka lakini pia kiimani hairuhusiwi nami naogopa kukutwa katika dhambi na Mungu wangu!
Nimesali sana lakini kama hakuna badiliko lolote! Nimuache? Yaani kila kitu tabu tupu! Wasichana nawaogopa mno nahisi wataniongeza machungu je, nitamfute mmama wa wastani kama miaka 34 ila awe mzuri? mi nina 25. Kwakweli sijitambui niko njia panda!
Nilikuwa mwajiriwa wa kampuni fulani na nilikuwa nikilipwa laki 5 kwa mwezi sasa nina miezi 2 nkmeacha kazi sababu ya matatizo ya ndoa yangu!
Sijielewi nahisi naelekea kufa ningepata mwanamke wa umri huo na anaishi tofauti na.mji wangu na akanipenda ningeenda kukaa kwake hata kwa miezi 3.
Nahisi maisha yangu yanaharibika sasa,
Nina uchungu sana usiku huu nilikuwa safari nimerudi na zawadi zimepokelewa na kutupwa sitting rum, ninahamu nimemsogelea kitandani kanipiga pepisi jichoni nomeumia sana maana tangu tuoane sijawahi ifurahia ndoa!
Hapa najiuliza nifanyeje napanga nitoke nikalale guest lakini sina hata wakunifariji natoka naenda guest hata nikifika nikaamua kujitoa duniani inatosha.
Kuna wanawake wazuri sana, wapoleee sauti za upole akikukosea kidogo tu utasikia samahani baba yangu, nakupenda haikuwa nia yangu, jaman namimi si nipate mmoja wa hivi?
Kisa cha kuoa mapema nn.?? Pole wee..uliingia akili ikiwa haijakomaa c bure...wenzio wanaoa wakiwa 30 akili zishakomaaa
25 WAKIUME NA UMEOAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!????????? Damn!!!!!! YOU ARE PATHETIC INDEED!!!!!!!
Itakuwa alikubli umuoe KIMASLAHI sasa umemfika kooni, wamchefua nafsi. (Ngoja niishie hapa kukupa makavu maana na hizo stress hushindwi kujitundika na shuka! Mmhhhhhhhhhh!(Mguno wa kinafiki.)
Anyway hapo dawa we mrudishe kwao kwa muda, akisha test maisha bila wewe kidogo, MAYBE anaweza kjirudi na kukuheshi na kuacha tabia ya kukukoa mikwenzi.
NDOA ZA UTOTON ZINASUMBUA SANAAAAAAA! Thats why nangoja till i am at least 40 ndo nianze kuconsider kuingia.

Lara 1, shida siyo umri wala kumchefua ndugu yangu, mi sina masilahi amenipenda nikiwa sina kitu. Nina miaka michache lakini busara yangu kubwa saana, nimepewa uchungaji wa makanisa makubwa sana Dar nikakataa! Nadhani huyu mwanamke atakuwa jini maana anapata kila aina ya care, ukisema yale mambo yetu ndo kabisaaa hapa amefika! Nimesikia.pia aliachika tena miaka ya nyuma duh
Kumuulza mwenyewe haitosh shrkisha na watu wengne
Kwa maelezo yako
inaonyesha wewe ni muumini wa makanisa a kiroho. Nataka niamini kwamba
wewe unaimani kubwa kwa Mungu na ndio maana unasema umesali weeeeee lkn
mambo bado magumu. Nashindwa kuelewa kwanini mtu mwenye imani kwa muumba
wake awe na mawazo ya kutoka nje ya ndoa. Yawezekana kweli mkeo ana
matatizo lkn bado sio njia ya wewe kutamani kuanzisha mahusiano mapya.
Bado jibu lako utalipata kwenye maombi ukiomba kwa moyo lazima
kitaeleweka tuuuu kwani Mungu si mwanadamu hata aseme uongo.
Je umejaribu kuzungumza na mwenzako hayo yanayokukera na mkakosa
muafaka. Kwa nionavyo mimi ni vema mkakaa na kujadili muskabali wa
maisha yenu na kama mnaona mambo hayaendi basi mwaweza amua otherwise.
Inawezekana mwenzako ana mtu au na yeye amekata tamaa alivyotegemea
sivyo sasa hali hiyo imemchosha . Mkikaa kwa mazungumzo mtajua iwapo
mtaamua kuwa wawazi.
25 WAKIUME NA UMEOAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!????????? Damn!!!!!! YOU ARE PATHETIC INDEED!!!!!!!
Itakuwa alikubli umuoe KIMASLAHI sasa umemfika kooni, wamchefua nafsi. (Ngoja niishie hapa kukupa makavu maana na hizo stress hushindwi kujitundika na shuka! Mmhhhhhhhhhh!(Mguno wa kinafiki.)
Anyway hapo dawa we mrudishe kwao kwa muda, akisha test maisha bila wewe kidogo, MAYBE anaweza kjirudi na kukuheshi na kuacha tabia ya kukukoa mikwenzi.
NDOA ZA UTOTON ZINASUMBUA SANAAAAAAA! Thats why nangoja till i am at least 40 ndo nianze kuconsider kuingia.
akili itakomaa hukohuko kwenye ndoa! bila ndoa pengine angekuwa anaendelea kumkosea muumba wake kwa kula tunda la mti wa kati!!!
Ahaha acha zako...kijana ameoa ww unamtisha..tatizo hivi vibinti vya facebook vinataka kula bata sana na vinajua ukiolewa kila weekend ni dinner na nyama choma, swali langu kwa kijana: ndoa yako ni ya dini gani? Kama za kwetu mKristo imekula kwako mdogo wangu huyo wako mpaka kifo kiwatenganishe, Na ww kubwa la maadui umezeeka sana kwa umri wako ulibidi uwe na mjukuuu ahahahhhahah
Tatizo lako wewe ni mbishi... Unapoambiwa wewe ni mdogo kuingia kwenye ndoa kubali. Yes una busara, lakini hazitoshi kuhimili mikiki mikiki ya ndoa. Mfano mdogo ndio kama yanayokukumba sasa. Ungekuwa na busara za kutosha wala yasingekuumiza kichwa na akili kama yanavyokuumiza sasa.
Kwa umri ulionao huo ukienda nje ya ndoa ndio unaenda kujichimbia kaburi.
Mimi nakushauri kitu kimoja. Kuanzia sasa anza kuishi kama vile hujaoa. Usimuache mkeo, lakini pia usimchukulie kama mke. Mchukulie kama rafiki tu anayeishi katika nyumba yako. Kama mna mtoto/watoto we peleka care kwa watoto. Akinuna, akigomba, akilia, akicheka, usijali. Jali maisha yako mengine, but usiwaze tena kuhusu ndoa yako. Kama ni kulala, akikataa usilale kitandani, kalale chumba kingine au sebuleni. Usijaribu kabisa kumuomba au kutaka kufanya naye mapenzi. Kama ni chakula akipikupa kula, asipokupa kale kwa mama ntilie.
AMUA kuishi maisha kama hayo kwa muda utakaojipangia ama MIEZI 3 au 6. Strickly that way, yaani usimjali kwa lolote. Kwa kifupi chukulia kama hayupo humo ndani. Ni ushauri mgumu mgumu kidogo but matatizo magumu yanahusu maamuzi magumu, maana usipochukua hatua, ama utaua au utajiua au utakufa...
Mmmhhhhhh... Lait huyo mkeo tungempa nafasi na yey ajielezee nahis angesema meng sana unayomfanyia, wanawake tuna huruma sana na mpaka mtu akifikia hatua anakuonaona tu kam mtu na viugomvi bas ujue na wew unatatizo sema ndo hvyo wanaume mnapenda ubabe na kuonekana hamtendewi haki