NITAZUIA VIPI KITABU CHANGU KISIIBIWE na pirates?

Mpeni sifa Yesu

JF-Expert Member
May 23, 2010
646
129
Wandugu,naomba tubadilishane uzoefu hapa, nitawezaje kuzuia pirates wasiibe kitabu changu ambacho nimekiandika na ninatarajia kukisambaza hapahapa tz? je? wanaoiba ni publishing company au mtu yeyote? nifanye nini ili kupunguza kuibiwa my work of art au nisiibiwe kabisa. COSOTA wanasaidia ktk hili? mwenye uzoefu tafadhali naomba tushee hapa. ni kitabu kizuri sana cha sheria kwenye tafsiri rahisi ya kiswahili. asanteni.
 
Hebu muulize mzee mwanakijiji ana kitabu chake atakua anajua moja mbili na tatu..
 
Pirates bongo ni vigumu sana kuwadhibiti ukizingatia hakuna sheria ya kuwadhibiti..sheria zilizopo zinawabembeleza.
 
Back
Top Bottom