- Thread starter
- #21
Ni kweli mke mwema hutoka kwa Mungu ila ni lazima umtafute.
pole mwaya
Mke na Mume mwema hutoka kwa Mungu hivyo kuwa mtu wa maombi utampata aliyewako
vilevile usipende kulinganisha watu , wanadamu wameumbwa kwa utoffauti sana huwezi kumpata yule atakayefikia yule mchumba wako wa awali itakuwa ngumu sana vinginevyo utavamia na viwewe bure kuwa mtu wa rohoni utampata tu