Nitawezaje kutumia Router hii

Nitawezaje kutumia Router hii

deo bruno

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Jamani Nina Wireless Route D Link N150 but haina internal modem na haina port ya kuweka modem ya kawaida. ila ina ethernet port tuu, naomba kujua kama naweza kutumia modem ya kawaida kwa kutumia ethernet? na ni aina gani ya ethernet?
 
Hii maana ake lazima uwe unatumia TTCL broadband sasa ule waya wa ethernet unaiweka port moja afu port nyingine zina distribute
 
Jamani Nina Wireless Route D Link N150 but haina internal modem na haina port ya kuweka modem ya kawaida. ila ina ethernet port tuu, naomba kujua kama naweza kutumia modem ya kawaida kwa kutumia ethernet? na ni aina gani ya ethernet?

Njia ambayo unaweza kutumia hiyo router na modem, lazima uwe na pc ambayo itakuwa kama server utatumia ethernet cable kutoka kwenye LAN port ya pc kwenda kwenye router alafu modem uta-install kawaida then tumia connectify ku-share internet access ya modem over LAN hapa itafanya kazi, hii njia nimeshaijaribu na ipo njema.

3.png
 
View attachment 193348

kwahiyo brother h120 naitaji vitu gani hapo? maana nina ethernet 1 ambayo niliikuta kwenye router, nisaidie brother sina ujuz kabisa
 
Labda nikuulize kwanza hiyo router unahitaji kwa matumizi yako binafsi au ni watu kadhaa watakaotumia?

pili kwa njia hii unahitaji connectify software nadhani ipo JFstore utaipata au unaweza download kwenye torrent sites.
 
kwa matumiz yang na kuwasambazia wengine na ninatumia dell inspiron 3537,
 
Back
Top Bottom