Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.
Nina database ya biashara ya Tanzania.
Ina taasisi za aina Tatu:-
1. Kampuni binafsi
2. Taasisi za umma
3. Asasi zisizo za kiserikali.
Pia imesheheni taarifa zifuatazo:-
1. Jina la kampuni/taasisi.
2. jina la muhusika mkuu.
3. Anuani ya Posta.
4. Mji
5. Wilaya
6. Mkoa.
7. Namba ya simu
8. Namba ya nukushi (fax)
9. Barua pepe (Email).
10. Tovuti (website).
11. Shughuli za taasisi.
12. Kundi.
ukiona hivyo ujuwe hajuwi hata kinachoendelea hapo, anashangaa! mbona watu wanazo hizo database, shida ni vile utakavyozitumia, sms moja kwa mwezi haiwezi kumdhuru mtu