Nitawezaje kuipata iPhone iliyoibwa?

tokomea

Senior Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
193
Reaction score
87
Nimeibiwa iPhone 4s naweza je kuipata?kuitrack?
 
unaweza kuitrack kama ulikuwa umeinstal find my iphone app uki log in kwenye iCloud account yako. Nakama ina latest iOS ukiwa umelock na your apple id there isn't much they can do. They will need your apple id for it to be opened or use.
 
unaweza kuitrack kama ulikuwa umeinstal find my iphone app uki log in kwenye iCloud account yako. Nakama Sipo na latest iOS ukiwa umelock na your apple id there isn't much they can do. They will need your apple id for it to be opened or used.

Naona hajui vizuri unachomshauri mwenzio
 
Naona hajui vizuri unachomshauri mwenzio
Angalau amejaribu lakini kuliko kukaa kimya maana hapo ukiingia www.icloud.com una log in icloud account yako unatafuta FINDMYIPHONE inakupa location ya pale ambapo huyo mtu alieiba yupo kama itakuwa imewasha na kuanza kuifuatilia au kama aliekuibia ni rafiki yako au mtu wa karibu kwa kujua location inaweza kukusaidia hata kujua hilo eneo anakaa nani kati ya hao wote
 
Mimi naona icloud inasaidia kwa kufanya mwizi wako asitumie simu hio lakini swala na kumpata uso kwa uso hilo sahau ...

Halafu ni biashara ambayo apple wanafanya kwa sababu wanazifungua ila kwa gharama kubwa ki'bongo bongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…