Nitawezaje Kuficha app kwenye simu ?

Nitawezaje Kuficha app kwenye simu ?

Nishakusoma nenda Playstore kuna app inaitwa applock unaweza kuficha kila kitu.
 
Ningeomba unitajie majina ya hzo app mkuu

hide app inaitwa.. nyingine hazifanyi kazi kwa unrooted devices
ukitaka kuficha picha na video tafuta hizi
1. secret gallery
2. android safe
 
Apps nyingi mnazozitaja hapa nizakulock au kuhide mf pictures au video. Swali ni kwamba hakuna app ambayo inaweza fanya apps nyingine kudessapear hata icon yake kupotea? Cc C6 chiefmkwawa
 
Last edited by a moderator:
Una kaproject nini kanaendelea?

Wakuu,Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !
 
Huyu ni mtu anajaribu kudownload app either kwenye simu ya mpenzi wake am-trace sms, phonecall records etc...
Au kama si hivo basi ni app ambayo ina mambo ya ngono anataka awe nayo ila aifiche...
Hahaha
 
Wakuu,

Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !

Wewe kiboga hakuna kitu kama hicho kuwa mkweli unataka ku mtrace wife wako sms na calls?utakufa na pressure juzi watu wapatao 500 wamekufa kwa pressure acha wivu nawewe tafuta demu piga pumbuu mwache watu wafaidi
 
mkuu huyo mke mwenyewe sina mbona...
 
Apps nyingi mnazozitaja hapa nizakulock au kuhide mf pictures au video. Swali ni kwamba hakuna app ambayo inaweza fanya apps nyingine kudessapear hata icon yake kupotea? Cc C6 chiefmkwawa
kama unatumia nova launcher ina option ya ku hide app zingine, zinakuwa hazionekani kabisa kwenye app drawer
 
Back
Top Bottom