wanasemaga kuna kuweka call barring lakini ngoja tuone wengine watasemaje....nina same problem na imenigharimu kuifunga kabisa hiyo line
Nimetafuta option zote nimeshindwa! Nateseka sana na hili simu saa tisa usiku, nikiwa kazini, mikutanoni, ili mradi simu imepigwa najuta kumjua. Siwezi funga hii line maana wadau wote wanajua hii namba!
pole sana....mimi nilijaribu kwenda mpaka zain kujua kama wanaweza kublock lakini na wao ni bure kabisa....labda kampuni zingine za simu zina hizo huduma za kublock....ki ukweli inakera sana
Hebu nionee huruma leo nimepigiwa mara 29! Sijui hadi asubuhi itakuwa mara ngapi nimekoma.
duh kweli hiyo kero.....amevumbua nini kwako....mbona spidi namna hiyo
Nijuavyo mimi hakuna jinsi ya kumzuia mtu asikupigie simu. Hata hata kama ukiiblock hiyo namba, huyo mtu anaweza kukupigia kupitia simu nyingine na kufanya zoezi zima la kublock kuwa meaningless. Cha muhimu ni kupuuza tu simu zake hadi achoke mwenyewe. Option nyingine ni kubadili tu namba yako ya simu.
Nimepewa hii code * # 33 and # bahati mbaya haifanyi kazi na iPhone.
Nimepewa hii code * # 33 and # bahati mbaya haifanyi kazi na iPhone.
Nimepewa hii code * # 33 and # bahati mbaya haifanyi kazi na iPhone.
hii code unawekaje?
mchungaji uliongeza ufundi nini? lol hapo hakuna njia mkuu alichosema NN ukiweza kitakufaa zipotezee tu
hii code unawekaje?