Nitawezaje ku-update photo viewer ?

MAKAH

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
1,582
Reaction score
267
Wakuu naomba msaada. Nina picha katika mfumo wa IMG hazifunguki nikitumia Photo Viewer niliyonayo. natumia Window 7.

Napata message: Windows Photo Viewer can not open this picture - naambiwa hai support hiyo format au nipate latest updates.
 
mi pia nimekumbana na hiyo kadhia. msaada wadau!
 
hizo picha zimetoka wapi? hazina encryption?

jaribu kudownload photo viewer nyengine kama picassa
 
hizo picha zimetoka wapi? hazina encryption?

jaribu kudownload photo viewer nyengine kama picassa

nimejaribu mkuu lakini hii biashara ya kimataifa noma wananiletea ka program ka ku scan registry files na kuniambia nikitaka zifutwe basi viza card e.t.c.

kama unayo link ya kupata hii kitu tusaidie tafadhali.

ya encryption ni possible cause pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…