Habari ndugu wana JF,
Nashukuru kwa msaada wenu nilifanikiwa kuroot simu yangu Samsung i8268 kwa kutumia flamaroot baada ya kuroot nikaenda playstore kudownload ROM manager app lakini kwenye maelezo yao wanasema ni FLASH CUSTOMWORK COMPATIBLE KERNEL FIRST.
Nimejaribu kusearch Google naona sielewi maelezo yao hivyo naombeni msaada jinsi ya kuflash customwork compatible kernel first
ASANTENI