Nitaweza kweli...ooooh,god strengthen me!

Acha mambo yako mtu wa kuja kuishi nae hamna haja ya kumuongopea lazima umwonyeshe maisha yako halisi

Sent from my iPhone using JamiiForums
we ujue ukweli unatumia nguvu nyingi sana ila uongo ni fasta kitu kinalinika ... tumia ukweli wakati kuna jamaa anasaundisha uongo mwanzo mwisho tuone kama atampta huyo dada
 
Arejeshe upendo kwako, kwani aliwahi kupenda awali?

Msome tu uone kama ana ka hisia hata kadogo. Kama kapo usimpe nafasi, kuwa karibu yake hadi aone umuhimu wako hivi hapa unakuwa unamjengea kukutegemea kihisia. Ukishaona amekuzoea kila saa anakutafuta, jua ushapata maksi. Mkumbushe unachotaka kwake ni penzi, afu ukiona haeleweki, anza kumpotezea. Mpotezee hadi a feel absence yako, hofu ya kukupoteza lazima 'aelekee kibra'

kunawakati nafikiria kumpotezea ila roho inauma….offcoz hajawahi nifanyia kitu kibayaa chakunifanya nikate tamaa kabisa zaidi amekuwa mzito kunitafuta yeye kwanza….
 
we ujue ukweli unatumia nguvu nyingi sana ila uongo ni fasta kitu kinalinika ... tumia ukweli wakati kuna jamaa anasaundisha uongo mwanzo mwisho tuone kama atampta huyo dada

Hahaaa wa sound ni wa hit and run lkn yule wa kuleta kunyumba ukweli unahitajika hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwambie kuwa unataka kumuoa na uko tayari kujitambulisha kwao. Usiombe game, atajua ni walewale. Wakati huo huo usiwe bahili just try to make her happy . Mpe zawadi za bei ya kawaida.Mwalike kwa mitoko(outings) maeneo ambayo sio hatarishi mfano beach, restaurant hata kwenda shopping,nk. Hapa namaanisha usimwalike maeneo yenye gesti/hoteli za kulala atajua unataka kula mzigo. Akikubali mtoke, epuka kumshawishi kunywa pombe unless anataka mwenyewe asije akafikiri unamuandalia mtego. Hata ikitokea akanywa mrudishe kwao salama bila kumgegeda. Pia mkiwa mnapata vyakula na vinywaji usiongelee tu mapenzi jitahidi kuongelea mambo ya kawaida ya maisha.Mfanye kama rafiki kuliko mpenzi. Epuka kumshikashika kihasarahasara. Labda kum hug na kumshika mikono basi. Majonjo mengine yatafuata baadaye. Uwe mvumilivu sana baadaye anaweza kujenga imani na wewe. Kisha ndoa.

Uko vzur ndugu
 
wanajukwaaa

Hatimaye nimempenda dada mmoja....nimefunguka vyakutosha sijapewa direct response,japo naongea naye vizuri tu. nimependa kwakumaanisha coz nataka nifanye maamuzi yakumuoa,to me is like a last resort in decision concerning marriage bt yeye ashawahi penda na hakupendwa as like katendwa...anahofu namimi,na anasema hataki kupenda tena.msaada wamawazo nitafanikiwa kweli?what can i do aniamini kuwa nimedhamilia!!ila pia nifanye nn arejeshe upendo kwangu?

ushauri wanajamvi...kama huna lakushauri we pita tu si ulushe maneno yaajabu ajabu!!!!!

Hebu ni PM unipe contact zake nijaribu kumtongoza ili tujue ikiwa ni kweli HATAKI TENA KUPENDA. Nitampa offer ya kwenda Dubai, na tukirudi nakupa jibu mkuu ikiwa ni kweli hataki kupenda ama la.

Mambo mengine jiongeze mwenyewe, siku ukioa itakuwa mkigombana kidogo unakimbilia JF. Acha hizo bhana.
 
Take it slow,court her ili umjue vizuri..usikomalie sana mana pia yawezekana hujapangiwa yeye af itakuumiza,keep ur options open,
over...
 
onyesha unamjali kwa kila hali, mara nyng wanawake ni dhaifu sana kupangua kwa mtu anaeonjesha kumjali sana..
 
Mwambie kuwa unataka kumuoa na uko tayari kujitambulisha kwao. Usiombe game, atajua ni walewale. Wakati huo huo usiwe bahili just try to make her happy . Mpe zawadi za bei ya kawaida.Mwalike kwa mitoko(outings) maeneo ambayo sio hatarishi mfano beach, restaurant hata kwenda shopping,nk. Hapa namaanisha usimwalike maeneo yenye gesti/hoteli za kulala atajua unataka kula mzigo. Akikubali mtoke, epuka kumshawishi kunywa pombe unless anataka mwenyewe asije akafikiri unamuandalia mtego. Hata ikitokea akanywa mrudishe kwao salama bila kumgegeda. Pia mkiwa mnapata vyakula na vinywaji usiongelee tu mapenzi jitahidi kuongelea mambo ya kawaida ya maisha.Mfanye kama rafiki kuliko mpenzi. Epuka kumshikashika kihasarahasara. Labda kum hug na kumshika mikono basi. Majonjo mengine yatafuata baadaye. Uwe mvumilivu sana baadaye anaweza kujenga imani na wewe. Kisha ndoa.

Well said! Sioni kitufe cha like!
 
Hv hz habar za kutopenda tena zipo kweli kipind hk au?
 
ushauri mzuri nadhani muhusika inabidi aufanyie kazi
 
Hv hz habar za kutopenda tena zipo kweli kipind hk au?

Nilitaka kuuliza swali hilo...

Anyways, amchunguze zaidi kama kweli anamaanisha kuwa alitendwa na hawezi kupenda tena.

Inawezekana yupo na mtu, anampenda na hawezi kumuacha, au ana mtu wake somewhere na hana uhakika nae, ndo maana anamvunga huyu jamaa.

Pia, uwezo wake kifedha waweza usimridhishe bidada, dada zetu wapo kimaslahi zaidi, ni wachache wanaotupenda na vipato vyetu vya 300k. Ni mda mzuri kumchunguza. Vizawadi, outings na kuwa a gentleman vinahusika sana.
 
Back
Top Bottom