Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Unajenga na inabaki.Nyumba ya udongo iliyosimamishwa na nguzo na kuzingwa na fito inaisha na chenchi inabaki.Hapo kaka nyumba inakamilika na uzio wa makuti unazunhushia nyumba yako.Wanaotaka kujenga majumba makubwaaa ya kifahari achana nao.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom