@Mphavu Kaka umetishaje,jamaa ka'mind list kubwa lkn hajatokelezea wala nini?
Tehe tehe tehe, kijana naona unarusha mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo au unarusha mawe gizani linaweza kumpata hata mkweo.
Ona sasa umeniumbua, adhabu yako hupati mke/mume kama ni wa kiume na kinyume maana kozi niliyoenda kusomea ina ufitini ndani, na katika somo hilo nina A.
Andika maumivu mpaka ufute kauli yako au unitake radhi.
Usiogope chalii yangu ipo siku Mungu akipenda tutaonana. Kama kawaida Simba chama kubwa, yaliyopo sasa ni upepo tu utapita.
Hawa huwezi kuwaona wapo mbali kwa sasa,BOFLO yupo busy kwa sasa anakatisha ticket treni la mwakyembe,BUJIBUJI hajulikani alipo anadaiwa na Finca, Mbuzi mzee kaenda Nigeria kutafuta dawa ya temeke,Mzee wa Rula yupo Chile kwa short course ya utapeli,Mzizi mkavu ndio hivo alinasa jana temeke,Preta kaolewa na babu wa loliondo na unajua kule network ni tabu kidogo,bigirita na wengine nikipata habari zao nitaendele kukupasha
Mwanangu Tisha toto yaani umenisahau mimi baba yako? Ama kweli kuzaa si kupata!
nipo mwana.....karibu Yaeda Chini.......upate kinyango cha nyanyi.......
Urafiki wa Tisha-TOTO na Mzee wa Rula utashamiri kwa kasi siku ya leo. Simba wana hali ngumu kwa hiyo watamuhitaji sana Tisha-TOTO asaidie kuwatisha Toto Africa wawaachie point yao moja.
By the way Mzee wa Rula, kitendo cha kushambulia basi la Yanga kwa mawe kule kabuku si cha kiungwana. Mumemjeruhi Msuva na kuharibu basi letu, hivi kwa nini lakini?!!!
Tunajua mnalelewa 'Mogadishu' lkn kumbukeni mnaishi Tanzania, tushindane uwanjani sio Kabuku kwenye basi. Pazi simuoni jukwaa la SUPOTI yapata wiki sasa, bila shaka ni yeye anaratibu kutupiga majiwe, yule Mzaramo hana adabu kabisa
Hivi King'asti ndio kijasti au ni watu wawili tofauti?
Karibu mimi napatikana zaidi MMU kuliko mtaani kwangu Buzebazeba, Kigoma Ujiji. Wewe unanifahamu vizuri kuliko Jirani wangu next door. LOL
Tupinge urafiki basi!
Hapa unataka kunifitinisha bure na akina Katavi, Masuke, Saint Ivuga, etc!
nipo mwana.....karibu Yaeda Chini.......upate kinyango cha nyanyi.......
pooouwaaa......
Nitakuja yaeda mwezi ujao naomba uwe mwenyeji wangu.!! lakini nahitaji nyama ya nyanyi naskia ni dawa ya magonjwa yote!!!
Charger, kwa vijimaneno hivi vyako nimegundua kundi ambalo umo. Nimekuweka huko!
Basi ngoja nimrushe asijisikie vibaya.
Ohaaa wanajamvi, nitampataje Mzito Kabwela, asiye katika kategori maalumu.