Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaChangamka ukisikia ule wimbo kwamba tunaelekea kaanani basi ndo huko sasa.
Mie kanani sipajui bhana
HahahaChangamka ukisikia ule wimbo kwamba tunaelekea kaanani basi ndo huko sasa.
Hayo ndo manenoUko vzry kwakwel![]()
Ohooo....Hahaha
Mie kanani sipajui bhana
Hahahaha nmewamiss sanaShkamo binti
Yaani nitatumbuliwa ujueNa wewe ukitokea tu, pages zinajaa.
Bila ya samahani na wala hujakosea.Samahani
We ndo shemeji
Vipi hajakujibuPoa.
Anitambulishe mara ngapi tenaMbona hututambulishi jamani
HeheheHahaha huondokii jamanibaki na Mimi humu laaziz
Vipi hajakujibu
MmmmhAnalia kiarabu.![]()
Ndio, au hilo cheko VipiHahaha
Sema hakyamamahuyo ndo kaibeba roho yangu yote
Sawa sweetie roho yangu siwezi kuondoka alafu ww nikakuacha humu peke yako vyakula vitamu atanipikia naniHahaha huondokii jamanibaki na Mimi humu laaziz

Nafwaaa mieeeHahahaha
Huyo ndio shem wenu.
Mume mtarajiwa
Sema hakyamama
hakiyamungu yaanAsantePole boss.
Upo hapa, hakitoharibika kitu.
Nakungoja uje unipe mahaba specialHahahaha
Huyo ndio shem wenu.
Mume mtarajiwa
