Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
We haya tuuHata ku snitch bado. Nimestua tu nione mzee wa cc kama yuko active.
We haya tuuHata ku snitch bado. Nimestua tu nione mzee wa cc kama yuko active.
Na mimi nikamwita smart amsindikize kupokea hiyo zawadi.Aaah mimi sijamwita kwa mabaya maana nina zawadi yake
Samahani, kwani wewe ni nabiiNdo napashapasha mizuka hapa we endelea kusema ili niiamshe kisawa sawa
Namshangaa
Nataka redbull mie
aniulize mieWewe tehna.Na utajazwa kweeeli, we leta utani tuu... Hayo mahela ukijazwa unikumbuke na mie redbull
Una passport shogaawe ndio bamdogo nitakuombea vyote mpaka tigo pia waendelee kukujaza
japan unaenda lini ili tukusindikize na sakayo
mie niolewe mara ngapi bamdogo nishaolewa na lee
Walai nyie siwawezi bora muwolewe tu . Hahaha dude la nani?
Sio ya raha leoTigo wafanye nini?
Nimekukatia tiketi ya kilimanjaro uje kesho
haleluyaAaamen
Mie nakuamini mwayahuwa siongei uongi makanisa ya kilokole nimeingia kwa mwamposa tu tena naenda siku za maombi
Hahaha
Nimeona anataka kusemelea nimeona nimwahi kabla hajafisha ujumbeYamekuwa hayooo tena
huo ni zaidi ya usnitchUmeonaee
Poa PoaAsante
mfate pm kwake kama una shida naeAaah mimi sijamwita kwa mabaya maana nina zawadi yake
Hata mie SielewiMbona mguno wa kimalawi sakayo
Na utajazwa kweeeli, we leta utani tuu... Hayo mahela ukijazwa unikumbuke na mie redbull

HahahaYaani ungekuwa wewe sio mwanangu ningekuwowaga husemagi uwongo.