Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #481
Jus logout and delete jf's appTufundishe na sis jinsi ya kujitoa
Acha roho Mbaya we mtu ukoje lakin
Please onea huruma ka moyo kanguuko makinii...Bora uwe ivoivo Mana ukilegea tu,mm namchukua mamy,alaf si unajua nilianza kumvizia kitambo
Mm nnavojua mnaelewana atii,mwambie akwambie alivofanya yyAlivyo mtata sasa kaz ipo
Ha ha ha ha haNichangieni
HahahaHahahaaa! Wewe baki baki kidoogo basi hata hadi kesho kutwa
Si atataka nimbembelze hapo ndio kwenye shidaMm nnavojua mnaelewana atii,mwambie akwambie alivofanya yy
Hapana nimeita shemeji kwanza wa Boma
NkutafutieBado sijapata wa kula naye
Angalia tu usije ukakosa ajira mana unaweza kuomba ruhusa mpaka mwishowe ukaonekana mtoro.Unafikir?
KigoriNaja PM, Tutee kidogo.
Unaweza kuwa umenipata Mume
haya wanze kusulushisha laa sivo namfata Sasa ivi beby wako nkamchukuesi unajua sishindwi ee
Usjal anakupiga mikwara tu Huyo jeur hyo hanaAfadhali shem, please naomba mbesi ya maombi
Hahaha kwann bestie
Ewaaaayang ntakupa uimiliki ww kabisa wakujue ndio we Arabian queen
Mpka uombweeeeeeehivi kumbe kutokukwambia itakuwa roho mbaya ee. Basi nitakwambia swaiba.