Nitawamiss nyote

Sasa hata zile mambo za kutunza mwili mfano uso kwa njia za asili ndo kwanza sijakopi. Unadai unaondoka, aaah... Vitu natural ndo basi tena au? Kuwa na huruma basi!
Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatilia
sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha Allah
 
Kigori
Naja PM, Tutee kidogo.

Unaweza kuwa umenipata Mume
 
Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatilia
sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha Allah
JF ya ajabu sana. Unaweza kuta mtu anakufuatilia bila kuchangia chochote, mwisho wa siku credit zako anakupa kimoyo moyo. Mfano mimi, huwa siwezi kuchangia ila nasoma na kufuatilia,kujaribu. Leo yamenikuta na kunishinda... Nime type.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…