HahahahaNimeshtuka jana basi mie nimeamua kukesha maombi najua hutaweza
Uwiiiii jmn jmn. Maombi ya jana yameshanipa majibu kuwa nisiogope maana Yu pamoja nami(Yesu)Hahahahamaombi ili nisimuibe.
Nilianza kummendea kitambo,we muulize atakwambia
Wa kwanza kumpa hug ni yule beby wa mtu .nataka nkamuibeAkitoka yule wa ubavu wako naomba nifuate mimi niwe wa pili.
huna sababu ya kutaman atakuja menyewe
Jipange kbsayani nkirud bongo niwe nimejipanga hasa la sivo na Mimi ntakua miongon mwa wanaolalamika anko magu hahahaha
Aje atuambie
emmyta jmn
Kuanzia kesho simuachi peke yake. Naomba ruhusa mie kazin naenda nae job
Worlec bbytoTena na wewe dada yake umeshakuja hapa sidhani kama zitapita dk 5.
(Natania bana)
HahahahaUwiiiii jmn jmn. Maombi ya jana yameshanipa majibu kuwa nisiogope maana Yu pamoja nami(Yesu)
Hahaha jamani mamyy hutaki share wwKuanzia kesho simuachi peke yake. Naomba ruhusa mie kazin naenda nae job