Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #421
Dah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasaliano
Mbea unamjua kwa suraRamadhani inaonyesha alikuwa mbeya Sasa anaacha ili kupisha mwezi mtukufu
Hv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabanaKuna shida gan mbona member wana left sana
Imekaa vzr hiyo ila sababu hujaweka
Umeonaeehapo sawa,ntakua napita kimyakimya
Hujawah kuwa mmbea ila jana nilikuona unaongea na hubby wangu nikawaacha tu. Usikute hii ni janja ya kuendelea kuwasiliana nje ya hapa eeehMbea unamjua kwa sura
Hahaha huku niliko hamna mtu anaitwa maguHv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabana
Hahahaaa! Wewe baki baki kidoogo basi hata hadi kesho kutwaMbona mie huniambii nicheke...
Hujui naleft
Umeonaee
Nawe unipe basi ya kwako niwe nachungulia tuu
Utakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapemaHahaha huku niliko hamna mtu anaitwa magu
Bora umenielewesha mwaya
Utakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapema
Akitoka yule wa ubavu wako naomba nifuate mimi niwe wa pili.kesho itbidi nipite kwa member mmojammoja nimpe hug