Nitavaa ped muda wote kuanzia leo

dah hilo kweli ni tukio la kufedhehesha aliweza kurudi kwenyewarsha siku iliyofuata kweli?

kwa kweli sikutaka kuendelea kuulizia zaidi, yalinitosha hayo alosimulia.
 
Ndio hapo ss...chechepe usijue
uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa...
 
aah wapi haipo hivyo huwa unasikia hata kaunyevu unyevu unaenda kujichungulia chooni
aloanzisha hii thread ni mwanaume na wanaomsupport ni wanaume ...angesema kachafuka kidogo ningeelewa eti kaloa tilalila !!!!!!!! haiwezekani lazima hata kwenye mapaja angesikia kitu hata harufu angesikia...ile damu sio mchezo
 
uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa...

hivi haiwezekani siku moja ikatokea damu ikaanza na kuchuruzika kwa kasi? ni lazima kila siku ianze kidogo kidogo?
 
Eti mwanamke mwingine!! Si useme wewe mwenyewe ndo yamekukuta? Au unaogopa ukienda kijukwaa hapo juu utakosa applicants?
 
na joto la DAR wacha liivundishe hadi upigwe kibuti.

matuklio kama haya ripoti kituo cha polisi kilicho karibu yako
 
aloanzisha hii thread ni mwanaume na wanaomsupport ni wanaume ...angesema kachafuka kidogo ningeelewa eti kaloa tilalila !!!!!!!! haiwezekani lazima hata kwenye mapaja angesikia kitu hata harufu angesikia...ile damu sio mchezo

hawa waadhani tunatoa maji na si damu ndo naona wanatoa maelezo ya uongo
 
wewe unadhani siku zote utasitukia kila kitu? hutokea siku usiyoijua likatokea jambo ukashangaa imekuwaje hadi hujasituka.

Wewe kwanini unalazimisha..sisi wanawake tunajua yanayotufika wewe unalazimisha...we vipI.?? Mwanaume kweli au ubishi ubishi tuu kubishania vitu vya kike..?? Ushawahi kubleed km hujawahi piga kimya
 
Mh jamani mtu ukiloa unahisi unyevunyevu!!!lazima utaona tofauti tu labda kama senses zimekufa huko!

Huyo atakua ana tatizo...atakua over used au anashimo la ajabu linalotema madini bila kujua
 
Hapa kuna dalili ya kuwa innovator. Naanzisha kiwanda cha "Chupipedi"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…