"... Nikiwa nahudhuria kikao na wadau wengine katika sekta ninayofanyia kazi, tulipobreak kwa breakfast nanyanyuka huku nikicheka na wanawasha wenzangu, oh my God! damu zimjaa kwenye kiti na sketi yangu nyeupe ipo chepechepe, nimepatwa na mfadhaiko wa kutisha, nimeanza kubreak kabla ya wiki 1 na nusu ya muda wangu bila kutarajia, kuanzia leo nigeuza ped kuwa kama chup, nitaivaa siku zote ....".
Hayo si maneno yangu bali ya mwanamke mtaani kwetu, aliyatoa katika hali ya mfadhaiko mkubwa.
Ndio hapo ss...chechepe usijueuongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? Hakunaga
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga