Nitauvunja vunja moyo wake soon

Ndio maana wazazi wengine wanakuwaga watata kweli kwenye mienendo ya binti zao na mwanaume/wavulana.
 
kwanza kosa lako moja ni kumu under rate huyo baby mama wako eti alijua yakaisha tuka solve...
mkuu hayaishi na kama yameisha jua kuna mjanja mwenzio huko pembeni nae anamuweka sawa huyo mwanamke...( amini nakwambia naongea from experience)
never under estimate the thoughts of women wala usiwajaribu..
pili uo mda wa ku handle 2 unaona unao, ila kwa mzaz mwenzio mapenz kwake yamepungua..na hilo huoni ila wa nje wanaoa ndo wanapochukua advantage kwa mama watoto wako..

mimi huyo mchepuko wako sigusii maana ni kilaza, nawe amekuambukiza chembe za ukilaza, eti uliogopa kumuacha baada ya biti..***.en kweli////yani tujivulana wengine mie mpaka nakwazika ,
 
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kuchezea moyo ya mtu, hasa alieumizwa.
 
yaani mtu kama wewe kindly nisingeweza kukuacha salama asee unajua katoka kuumizwa na wewe unarudia kosa ningehakikisha unamuacha huyo mke mtarajiwa na mm nakupiga chini ili ujifunze kueshimu mioyo ya wanawake kama unavo mueshimu mama ako
nilijaribu kumuweka awe vizuri amalize mitihan yake, hapo ndipo tulipodondoka nilikuwa nnajali that's all labda kuna vingine vingi sijaviweka wazi ndio maana mnaniona kama mnyama vile nnakubali mawe yenu ila msaada basi mtoe
 
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kuchezea moyo ya mtu, hasa alieumizwa.
ninauona huo mzigo, nikiri kuna vitu ambavyo sijaamua kuviweka wazi, mfno tuu huyy mwanamke nnayetaka kumuoa kani block simpati kabisa wiki sasa
 
ninauona huo mzigo, nikiri kuna vitu ambavyo sijaamua kuviweka wazi, mfno tuu huyy mwanamke nnayetaka kumuoa kani block simpati kabisa wiki sasa
Dah unajua, Kijana. Suala la ndoa sio la mzaa. Unatakiwa Kufunga na kumshirikisha Mora. Atakupa tu wa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…