Nitauvunja vunja moyo wake soon

Nakuombea uwakose wote maana hujui nini unataka. Unawatia aibu wanaume wenzako
 
Ulitakiwa kumuepuka tangu mwanzo uyo mwanamke km ulijua kua mwz wa 12 utaoa...Sasa mtu katoka kutendwa ata mwaka haujaisha unamtenda na wewe huoni kua unatujengea mazingira magumu sisi tutakaomfuataa?
 
Usipoteze muda wake, muweke wazi, ataumia bt she will move on
 
Ama kweli shetani ana njia nyingi za kushawishi Mauaji.
 
Hv vitu bwana! Akifanya mwenzako unaona kakoseaa kumbe na wewe upo ivyo ivyo, nimeumia sana kuna demu ninamdanganya. Ngoja nifanye uamuz
 
yaani mtu kama wewe kindly nisingeweza kukuacha salama asee unajua katoka kuumizwa na wewe unarudia kosa ningehakikisha unamuacha huyo mke mtarajiwa na mm nakupiga chini ili ujifunze kueshimu mioyo ya wanawake kama unavo mueshimu mama ako
 
yaani mtu kama wewe kindly nisingeweza kukuacha salama asee unajua katoka kuumizwa na wewe unarudia kosa ningehakikisha unamuacha huyo mke mtarajiwa na mm nakupiga chini ili ujifunze kueshimu mioyo ya wanawake kama unavo mueshimu mama ako
 
Hautakaa usahau hiki utakacho mtendea na laana itakukaa daima.
 
ujasiri ndio siri ya mwanaume, ujasiri sio lazima uwe na nguvu za kumkosoa magu tu ujasiri ni kwa jinsi gani unaweza ku solve issue kama hizi kwa utulivu na umakini mkubwa. Hapa mkuu huna jinsi ila kumwambia ukweli tu. Kuwa jasiri mkuu, acha woga, mlie timing hata kupitia kwa shoga zake mwambie ukweli
 
Huyu wa pili ndo unampenda zaidi thus why ukaanzisha mahusiano mapya ukijua fika tayari upo kwenye mahusiano... So just choose the second one coz if you loved the first one yu wouldnt have fallen for the second.. Ila unaroho ngumu sana ww kaka, na huyo dada mama mtt wako ndo kakuvimbisha kichwa kwa kujua kuwa unacheat afu akakusamehe!
 
Kumbe haupo tayar kuoa mkuu..saikolojia yako inaprove
 
Yani tamaa aliumbiwa mbwa ila binadamu 2naiga ndo maana tunaumia... ukimuoa huyo baby mama utajutia sababu ukweli unampenda huyo side chic, so utaendelea kucheat na ndoa yako haitakuwa na amani.. pia ukiamua kumuacha ukamuoa huyo side chic itakucost na drama za baby mama wako. Inshort akili kumkichwa hapa tutakuvuruga tu[emoji26]
 
HAKUNA HATA UNAYEMPENDA HAPO!
UNATIMIZA TU JUKUMU LA KUOA DEC!
 
Kama hali yako kimaisha na kiimani inaruhusu wewe oa wote ila tu nao waridhie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…