Nitatizo la kuwahi kufika nikiwa 6*6

Nitatizo la kuwahi kufika nikiwa 6*6

Habari za muda huu wakuu..

Bila kupoteza muda naomba twende kwenye mada, jina langu naitwa Juma Sangoma umri wangu miaka 30. Kuna tatizo moja linanisumbua sana, Kila nikishiriki mapenzi na mwenza wangu hua nawahi sana kutoa wazungu mzunguko wa kwanza na mbaya zaidi inachukua zaidi ya saa limoja uume kusimama tena kwa ajili ya mzunguka wa pili hali hii imenifanya mwenza wangu kua na malalamiko.

Hali imenitokea kwa zaidi ya wanawake watatu.

Humu nadhani kuna wataalumu mbali mbali naombeni msaada nifanyaje na ni nini hasa tatizo ili niweze kuwahi kusimamisha uume maana hua inanitesa sana kisaikolojia

Asanteni.
Mi nawahi kufika mzunguko wa kwanza ila nawahi kusimama japo nishapiga sana nyeto!

Nakupa sababu yakuwahi kusimama.
Ninapokuwa na mwenzangu 6*6 nikishapiga la kwanza uume wangu akili inachoka, namfuta mwenzangu nami najifuta then nitaenda kuoga papohapo then nikirudi naanza kumuandaa tena pasi kuchelewa ila najitahidi kwa hali na mali akiliyangu isitoke nje yake, nikianza kusikia miguno tu na machine inasimama fasta then nakula mzigo.

Nisipoeenda kuoga basi nikishapiga cha kwanza napumzika kidogo kama dakika 5 naanza kumchezea mpaka analia haswa, miguno yake inasimamisha basi nalamba tena ila hii round ya pili napigaga zaidi ya dakika 15.

Mwiso kabisa fanya mazoezi ya Kegel, Nakupa na App kabisa kwa muungozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulishafanyaga hayo mazoezi
 
Asee usipende kuoga baada tu ya tendo upe mwili kwanza nafasi usije kutuangukia bafuni huko
 
Kuwahi kutoa wazungu inamaana ubongo umepata taarifa ya utamu…Sasa basi angalia kwenye uume wako wapi ni sensitive sana ukishajua wapi ni sensitive sana pachezee pazoeee na ukiwa unafanya sex huwe unatoa nje kidogo ukisikia kupiz
 
Ndugu mleta mada,

Issue kwako si kutoa wazungu ndani ya muda mfupi. Issue iko hapo kwenye kusimamisha baada ya lisaa.

Round ya kwanza, dakika simalizi [emoji28]. Ila naunganisha kutafuta cha pili, ambapo natumia 30 minutes hadi 40. Naeza pumzika kidogo afu ndo niendelee na cha tatu. (Kama sijakula chakula cha maana).

NAMNA YA KUTATUA TATIZO LAKO.

-Kwanza kabisa Issue yako iko kwenye mzunguko wa damu. Machine sio mfupa[emoji28], ni damu ndo inasimamisha mashine.

Hivyo basi
1. Stay hydrated. Kunywa maji ya kutosha kila siku. At least 2 litres. (apa ni buku tu)

2. Matikiti maji. Haya ni matunda yangu pendwa . Kula mara kwa mara. Kula tikiti zima atleast mara 3 kwa wiki. (Apa ni 6000 kwa wiki)

3. Kunywa chai ya tangawizi/ au utafune kipande kidogo kila siku. (Apa ni 200 kwa siku)

4. Fanya yale mazoezi ya kubana mkojo. Yaan ukienda kukojoa, fanya kama unabana na kuachia. Hii inasaidia sana kuzipa nguvu muscles za mashine .

5. Fanya Mazoezi ya kukimbia, kichura-chura. In short fanya mazoezi yanaongeza flowing of blood kwenye maeneo ya chini. Dakika 10 hadi 15 tu kila siku zinatosha kabisa. Ingia YouTube kuna channel inaitwa ROWMAN ROW. jamaa ana guide vizuri. Enda chagua package yako.

NI HAYA TU. HAMNA MAAJABU MENGINE. MUHIMU NI KUWA NA CONSISTENCY TU.

Mimi naamini haya niliyoandika sio mageni kwako, ila pengine unatafuta holy grail au solution ya chap-chap. Asee haipo hivyo, utatafuta hadi uchoke🥲.

"Kupata matokeo ambayo hujawahi kupata, lazima ufanye vitu ambavyo hujawahi kufanya."

ANZA LEO, FANYA KILA SIKU. ukizidisha hizo vitu nimetaja hapo itakua vizuri zaidi.

Tarehe 28th March 2022 lete mrejesho hapo

Mr Confidential
 
Back
Top Bottom