Nitatanguliza milioni mbili (2,000,000Tshs)

Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
454
Habari wakuu, nahitaj bajaj ya mkopo kwa muda wa miez 3 na nitatanguliza milioni mbili kwanza'
.
.
Mwenye kampuni au mdau wa hizo kampuni aje tuongee biashara
.
.
Natanguliza shukrani
 
Nakushauri badilisha heading.
Maana watu kibao wamefungua waliju kuna mgao wa pesa,hahaha aisee watu noma kweli.

Kwanza nakushauri bora ununue bodaboda kwanza kuliko kukopa.
Kwa maskini hakuna mkopo wa chombo cha moto halafu ukatusua,lazima utaadhirika mkuu.
Unavyofikiria sio kabisa na uhalisia wa ulipaji wa deni.
Maana hapo inabidi udaiwe kabribia 3m nyingine,sasa usifikirie kwamba kirahisi utazilipa kwa kutegemea biashara hiyo.
Ushauri wangu,yaani usijaribu hiyo kitu ya mkopo,kama huamini basi kuna siku utaikumbuka post yangu.Tena nakupa miezi sita tu utapata jibu lako.
 
biashara huwa hazianzishwi kwa mkopo?? ukianzisha kwa mkopo kutoboa ngumu sana. na vyombo vya moto sio biashara ni majanga tupu
 
Back
Top Bottom